Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Chacha wangwe kilimtokea nini alipotaka uenyekiti wa chadema?
Hivi wewe huwa ni taahira au majinun? Nyimbo zilizokosa mvuto wewe bado unaimba kama vile kichwani kuna nati zimedondoka?
Hebu imba ile single ya Makamba, Kinana iliyotungwa na Musiba
 
Tafuta mwanamke mzee akuoe, chadema hawahitaji mazwazwa.
Eti hela zimechotwa kwenda kujenga mahoteli nje, kwa kuwa wewe ni mpumbavu wala hujui nchi hii ina CAG na huwa anakagua vyama vya siasa, unadhani hela za ruzuku wanagawana tu kama hela ya mboga huko kijijini kwenu.Punguani kama mwenyekiti.
 
Wewe ni biriani iliyochacha na hauliki tena
 
Barua ikowapi waliokujibu kwamba hawataki au hawatafanya(uliowandikia na waliokujibu.wekahapa
 
korosho, korosho, korosho zilizoporwa zinalipwa LINI MZEE baba?
hata ukiandika majungu kiasi gani wananchi wanalalamika KUPORWA KOROSHO ZAO NA LAGHAI/NYAPARA HUKO KUSINI.
moshi sasa umegeuka unafuka ccm. badala ya kuzungumzia ya kina makamba na kinana unageukia CDM?
 
Yaani wewe zuzu na Mbowe tu! Kwa kweli mbowe alikosea sana kuwakuna wote na mamako! Ila mamako naye mchokozi alijua kabisa wewe huwa unakunwa na Mbowe sasa naye alijichanganyaje?
 
Kuna kiongozi wa Nchi yeye anavunja Katiba ya Nchi Lumumba mnasifu.
Anzeni na Mwenyekiti wenu kwanza.
Wewe na nyumbu zingine deal na huyo, sisi lumumba wacha tudeal na mbowe, usitupangie.
 
Yaani wewe zuzu na Mbowe tu! Kwa kweli mbowe alikosea sana kuwakuna wote na mamako! Ila mamako naye mchokozi alijua kabisa wewe huwa unakunwa na Mbowe sasa naye alijichanganyaje?
Kenge wa njano na ma yako jumla jikite kwenye hoja
 
Kutaka katiba ya chadema ifuatwe kwa kuitisha uchaguzi kila baada ya miaka 5 ni majungu?
Nyumbu mtajielewa lini?
 
Hivi wewe huwa ni taahira au majinun? Nyimbo zilizokosa mvuto wewe bado unaimba kama vile kichwani kuna nati zimedondoka?
Hebu imba ile single ya Makamba, Kinana iliyotungwa na Musiba
Mauaji ya chacha wangwe hayawezi kuchuja mpaka haki ipatikane
 
Kutaka katiba ya chadema ifuatwe kwa kuitisha uchaguzi kila baada ya miaka 5 ni majungu?
Nyumbu mtajielewa lini?
koroshooo .malizeni kwanza hilo.hata uje na majungu gani kama serikali inapora watu Jasho lao ni bure tu
 
Katiba ya chadema ifuatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…