Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Hayo mengine sio ya msingi sana, la msingi ni je kuna athari gani kwa chama hicho kutofanya uchaguzi huo kwa wakati huu kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na katiba ya nchi?
 
Anavuta muda kula ruzuku anaogopa asije shika mwingine .Anataka kumsindikiza ruzuku Hadi June mwakani itakapokoma
 
LISSU ANAINGIA KINYANG'ANYORO CHA URAIS!
CHADEMA INATENGANISHA UONGOZI WA CHAMA NA UONGOZI WA NCHI, OVER AND OUT!
Lisu hawezi gombea uraisi inabidi asubiri miaka mitano ipite kwa sababu ya kuvuliwa ubunge.Ukivuliwa ubunge kwa mujibu was sheria mpya ya vyama vya siasa huruhusiwi kugombea ubunge,udiwani au uraisi Hadi miaka mitano ipite.Tundu Lisu out
 
Lisu hawezi gombea uraisi inabidi asubiri miaka mitano ipite kwa sababu ya kuvuliwa ubunge.Ukivuliwa ubunge kwa mujibu was sheria mpya ya vyama vya siasa huruhusiwi kugombea ubunge,udiwani au uraisi Hadi miaka mitano ipite.Tundu Lisu out
DUH! HATA HIYO SHERIA NAONA ILIMUANGALIA LISSU!
 
Kuna kiongozi wa Nchi yeye anavunja Katiba ya Nchi Lumumba mnasifu.
Anzeni na Mwenyekiti wenu kwanza.
Kuna mazuzu wengi nchi Hii am ao CCM imewacreate. Badala ya kuhangaika na kati a ya nchi au chama tawala wako busy na propaganda za nini Wapinzani wanafanya. Whchi is irrelevant...!!
 
Reactions: prs
Alipoamua kuwa mwenyekiti wa maisha alishaivunja misingi ya demokrasia ndani ya CHADEMA anapaswa kusoma alama za nyakati na kufanya marekebisho kukirudisha chama kwa wanachama ili kiendelee na mikakati chanya ya kutafuta kura za kuliongoza Taifa letu

We kweli ni msanii a.k.a mwigizaji....!!
Hivi na nyie MAFISI wa CCM nani aliyewaruhusu kuvunja Katiba ya JMT ili muendelee kutawala Tanzania milele? Nani hajui kuwa kila chaguzi kuu kule Zanzibari na Zanzibara mnaangukia pua lakini mnachakachua matokeo?
Tuondolee upuuzi na udaku wa MUSIBA wa Taifa hapa.......!!
 

Kawadanganze mafisi wa Lumumba....!
CCM MMEVUNJA KATIBA MARA NGAPI ya chama chenu na ya Nchi? Nani asiyejua kuwa CCM mnatawala nji hii kimabavu?Nani asiyejua kwa hakuna DEMOKRASIA YA KWELI ndani ya CCM hasa kipindi hichi cha JIWE??Kweli nyani haoni kundule....!!!!
 
Reactions: PNC
GREEN GUARD AMESHATOKA KULA UGORO ANAKUJA KUMCHALLANGE MBOWE POLE SANA
 
Unauhakika na unacho kisema????
Lakini Mbowe na chadema yake hawateki, wala hawapigi watu risasi tofauti na CHAMA CHA MAUAJI (CCM) wao wamebakiwa na kazi ya kuteka na kuua watu hovyo badala ya kuwaletea maendeleo kama walivyowaahidi.
 

Mbowe ni machine ingine mpaka mnaomba poo! Na bado!
 
Kwa hiyo chadema inavunja katiba yao kama ccm wanavyovunja?
 

Mwanachama wa CCM anaejifanya ana uchungu mkubwa na Chadema!

Basi sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…