Mshituko: Mbowe aongoza mashambulizi ya kuvunja katiba ya chama!

Jibu hoja

Lazima tuangalie kama upo eligible kuuliza hilo swali!

Unfortunately,huna!

Anaelalia kitandana cha kunguni ndio anaweza waongolea walivyo!

Wewe hujalalia!

Umelalia kitanda kingine kabisa!
 
Kumbuka yeye ndo kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni KUB, hapo ana mshahara, yeye pia ni mbunge ana mshahara na posho, kumbuka pia ni mwenyekiti wa chama ana mshahara na posho pia. Kila mwez ana uhakika wa 30 millions kama mishahara na posho. Unataka aitishe mkutano ili iwaje? Nani achukue huo uenyekiti? mdude? Lissu au nani?
Kumbuka chama kina ruzuku ya million 300 kila mwezi na mwenyekiti anasimamia masuala yote ya kiutendaji, unafikiri pesa zinaenda wapi kama ofisi kuu ndo ile? Cheo kitamu jamani
 
Hahaha umewachana ukweli mkuu
 
Wewe Elitwege shuhgulika mambo yenu ya Lumumba. Pilipili usiyokula inakuwashani? Haya ya CHADEMA tuachie sisi. siku ikifika uchaguzi utafanyika. Tuna imani na Mbowe. Mbowe oyeee!
 
Wewe Elitwege shuhgulika mambo yenu ya Lumumba. Pilipili usiyokula inakuwashani? Haya ya CHADEMA tuachie sisi. siku ikifika uchaguzi utafanyika. Tuna imani na Mbowe. Mbowe oyeee!
Udikiteta mtupu
 
Wanachama wanajua. Kwani wewe ni mwanachama, kadi namba ngapi mkuu? au ni wale wapumbavu ambao wanashughulikana mambo ya wenyewe?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…