Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Andaa na zawadi ya Uncle haraka na uende harusini,heshimu na kumpenda Shemejio.

Ukiendelee hivyo ujue umekuwa tayari mchawi atakayeshindikana huko mbeleeni.
 
Uende harusini ama usiende jamaa ataendelea kula tu dada yako mdogo. Cha muhimu usikose vyote, nenda angalao upige pilau na soda bila kula kusahau selfies [emoji3]
 
Da!!? Mshikaji sio POA hivyooo yaani kabisa ndio umekuja kunichana huku !!!

Ila sikukuomba ile misaada Ni kiherehere chako wewe na wazazi wako
Na yule dada yako sikumtongoza Ni shobo zake mwenyewe tu kujipendekeza kwangu ndio nikaona nimgonge ili asijisikie vibaya
 
Amini nakuambia walianza uzinzi mapema Sana , amini hivyo mkuu.
 
Mrejesho mkuu
 
Katika watu wenye akili za ajabu ninwewe, umesahau hadithi za kifalme na masimulizi ya biblia ya wafamle kijana akimfurahisha mfamle anapewa zawadi binti yake amuoe?hiyo ni heshima mnaunganisha undugu halafu jamaanamfahamu vizuri historian yake? Tatizo siku hizi hawachaguliani wachumba lakini wazazi wangependa wanao waoane na watoto was marafiki zao ai watu walio around ambao wanawafahamu. ACHA kuzingua
 
Inasikitisha sana
 
Muoe wewe huyo dada yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…