Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Nimeona na mimi nimeshangaaa sana wamepewa wotee kwenye hyo safu ya mbele alipofika kwa makonda akapita akaenda wa mbele yake. Angalieni marudio tbc si ndo kazi yao kurudia
Warioba je
 
Itoshe tu kusema Mzee Warioba ana pepo yake.
Mtu safi sana.
 
Walikuwa wote kabla ya hiyo gathering!!

Yule ni homeboy,no drama!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…