Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Je kuna haja ya kuongeza neno ?
Kapata wapi maamlaka kutangaza hofu! " HALI NI MBAYA"Msando atatimuliwa ccm muda si mrefu
ili iweje ?Vipi unataka waongezeke kidogo?
Unaamini maombi ya huyo Jamaa ndio yaliyoileta Corona?Alaaniwe yule jamaa mwenye vina saba na Chadema aliyekuwa analalamika kwa nini corona haiji Tanzania.
Imefika sasa matokeo ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atatimuliwa na nani?Msando atatimuliwa ccm muda si mrefu
Watakaomtimua ni wale wanaozika watu kwa mafungu huku wakifanya siri .Atatimuliwa na nani?
Maisha yanaanza " upya" baada ya Corona!
Huyu night club yake ameshaifunga?
Huyu ni mchochezi,ngoja tumsikilize RPC wa Arusha
Msando huyu ni mhaini wa taifa[emoji851][emoji851]Msando atatimuliwa ccm muda si mrefu
ohooooo!!!Alikimbia JF baada ya kuwatuhumu kina max kuwa wanagawa data (privacy) za watu humu
Stupid news ever!
unatakaje mjomba , tukuwekee nyimbo za Marehemu John Komba ?Stupid news ever!