Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Heee hii mpya kwangu imepelekwa wapi mkuu?
Mbona hakuna taarifa za Mh. Joseph Selasini kwenye hili gazeti?
Alaaniwaje wkt wenzetu wanachukua hatua madhubuti kupambana na corona.. kwa kuweka sheria kali mipakani. Sisi ndio kwanza tunajitutumua tunategemewa na nchi nane.. mara oh corona haimgusi mtu mweusi.Alaaniwe yule jamaa mwenye vina saba na Chadema aliyekuwa analalamika kwa nini corona haiji Tanzania.
Imefika sasa matokeo ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo bado akili za KICHADEMA hajaacha?Msando atatimuliwa ccm muda si mrefu
Tena nyie makapuku mnapotezwa na kufukiwa kimya kimya... sababu husikii/huoni jambo haimaanishi haliko
Ah wapi nani kasema? Tunakufa kwa makumi sema huwezi kujua kwa sababu hatutangazwi
Ni kweli yeye sio daktari Wala waziri wa afya takwimu za hali mbaya kazitoa wapi na waandishi wetu Kama mabwege Fulani hivi walitakiwa wamuulize atoe takwmu za corona Hapo Arusha na aeleze alikozitoa
Swali zuriHuyu night club yake ameshaifunga?
😆😆😆😆Mtageukana sana safari hii , mamluki wakubwa nyie !Ni kweli yeye sio daktari Wala waziri wa afya takwimu za hali mbaya kazitoa wapi na waandishi wetu Kama mabwege Fulani hivi walitakiwa wamuulize atoe takwmu za corona Hapo Arusha na aeleze alikozitoa
Lakini itizame hiyo miandishi imekaa Kama mibwege tu
Kwani gazeti limeandika wamekufa kwa ugonjwa gani ?Marehemu Jaji Ramadhani alikuwa na cancer ya kibofu muda mrefu katibiwa ndani na nje ya nchi muda mrefu, sidhani kuwa ni corona, hapa gazeti la CHADEMA linapotosha.. Benard Lowasa nae ni kigogo? Hili gazeti kweli hovyo
Kwani gazeti limeandika wamekufa kwa ugonjwa gani ?
mshituko wa vifo vya ghafla ndani ya muda mfupiKwani vifo ni kwa ajili ya watu maskini tu na sio watu wenye nyadhifa mbalimbali katika serikali na jamii, hoja hapo iko wapi? Vifo ni kwa wote, sasa gazeti linaandika mshtuko wa nn?
Hao wore Ni vigogo?
jemedari kakimbia mbiyooooAlaaniwe yule jamaa mwenye vina saba na Chadema aliyekuwa analalamika kwa nini corona haiji Tanzania.
Imefika sasa matokeo ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwaniguse ninukeNinamuona Membe amenena.
Usiwalaumu waandishi mkuu,ktk awamu hii wametenzwa nguvu na hawana tena ujasiri wa kuhoji jambo lolote au wewe umeona hili tu mbona hushangai ktk maeneo mengine?Hao sio mabwege wanajua mwisho wa mipaka yao,wao kazi yao ni kupokea tu baadae wakasambaze taarifa kama zilivyo.Ni kweli yeye sio daktari Wala waziri wa afya takwimu za hali mbaya kazitoa wapi na waandishi wetu Kama mabwege Fulani hivi walitakiwa wamuulize atoe takwmu za corona Hapo Arusha na aeleze alikozitoa
Lakini itizame hiyo miandishi imekaa Kama mibwege tu