babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Kaamka mzima leo ndomana
Kaamka mzima leo ndomana
Kila moja alikuwa anaugua ki vyake na umri nao pia wengine ilikuwa imeenda, na zaidi ya hapo immune ikiwa chini mgonjwa anakuwa valnurable kwa magonjwa Mengi hasa ukilazwa hospital.
ili iweje ?
tulieni, Msihamishe magoliAlaaniwe yule jamaa mwenye vina saba na Chadema aliyekuwa analalamika kwa nini corona haiji Tanzania.
Imefika sasa matokeo ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi unataka waongezeke kidogo?
Ukiona kafa kigogo mmoja juwa makapuku kadhaa wamekufa pia, sema tu hayupo wa kusambaza taarifa za vifo vyao.
Alaaniwe yule jamaa mwenye vina saba na Chadema aliyekuwa analalamika kwa nini corona haiji Tanzania.
Imefika sasa matokeo ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaaniwe yule jamaa mwenye vina saba na Chadema aliyekuwa analalamika kwa nini corona haiji Tanzania.
Imefika sasa matokeo ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ACT take this task to document vifo vyote. Watu watatoa taarifa maana vifo vinatokea tunakokaa. Kuna wanachama wenu ni kuwapa namna ya kukusanya majina , , location to lowest administration level , place of death, date of death na kutuma kwenu! Compile list for future reference!
Hahahaaa nilikuwa namsikiliza kwa makini sana wakati anaongea, jamaa aliongea kivifungu sana, yaani wewe mwenyewe msikilizaji ndio unatengeneza stori ambayo yeye wala hajaitamka kwa kinywa chake.Anazo vinasaba vya upinzani. Ameongea kiujumla tu,bila kuainisha hali mbaya ipi mf mafuriko,barabara mbovu,biashara hakuna
Uzembe wa serikali kutochukua hatua as prescribed by WHO unamwachia nani? Huyo aliandika out of hasira za yanayoendelea hana impact yoyote katika kuingia kwa ugonjwa!Alaaniwe yule jamaa mwenye vina saba na Chadema aliyekuwa analalamika kwa nini corona haiji Tanzania.
Imefika sasa matokeo ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzembe wa serikali kutochukua hatua as prescribed by WHO unamwachia nani? Huyo aliandika out of hasira za yanayoendelea hana impact yoyote katika kuingia kwa ugonjwa!