Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Nasikitika sana kwa niaba yako
Nasikitika zaidi kwa sababu unakikimbilia kifo kwa speed yote.

Jifunze kutongoza, achana na huyo kahaba utakufa. Nakuambia atakuua hivi karibuni kwa presha.

Kuhusu Polisi nenda ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka pale wilayani kwenu waelezee huu mkasa kisha wape ushirikiano maana kuna polisi hapo tayari wameshachezea ajira zao
Sawa sawa
Mwisho kabisa. Jaribu sana kutumia therapy ya bamia unaweza kupata akili kiasi
😂😂😂 hii ikoja mkuu,nielekeze kidogo
 
Hahahaah
Jitahidi kutoielewa mkuu. Zingatia zile za juu unaweza kusolve kisha baadaye ndo uje kumalizia kusoma utanielewa😅😅😅😅😂🤣
Nilikuelewa vizur kamanda. I just tool it positivelly
 
Ila na wewe mkuu baba ako mzazi anatukanwa mbele ya kadamnasi we unakenua tu 😬😬 hopeless tunataka idadi ya singo maza iongezeke bado hawatoshi
 
Mwanamke akitombesha nje huwa anatoka mazima. Na ukimg'ang'ania ni sawa na kumuongezea speed ya kukuumiza. Hizo picha aliziweka makusudi ili uzione uanzishe mtiti asepe.

Jambo kuu kwa mwanamme ni kuwa na uwezo wa kumuacha mwanamke. Wewe unapaswa kujua zama zako zimekwisha, sepa na kaanzishe maisha mapya. Tafuta binti mbichi wa 2000 oa.

Watoto wako wasikuumize kichwa sana, uzuri mama yao ana ajira, hawawezi kufa njaa na nyumba waachie itawasaidia mbeleni. Kwa sasa kata mawasiliano ya watoto na mama yao.

Huyo mkeo wa zamani ipo siku atakurudi analia, katu usijefanya kosa la kumpokea.
 
Wakuu heshima kwenu.
Sipendelei sana kuingia deep kwenye mkasa mzima unaoihusu familia yangu , especially mimi na wife.
Ila kwa kifupi tu, wife alizingua big big big time (usiulize nini maana ni ishu serious sana inayoweza husishwa na suala la uaminifu moja kwa moja)

Na nilipotaka maelezo toka kwake, akanijibu shit kwel kweli, nikaona this is too much, nikamchapa vizuuri tu.
Ila akili ziliponirudia nikaona nimefanya sio kitu kizuri, nikamuomba radhi.

Huu ukawa mwanzo wa mambo mengi sana, wife na ndugu zake waka kaa kikao, wakamshauri kuwa aachane na mimi. Akaanza harakati za kutekeleza maazimio ya kikao chao
Baada ya 10 days, aka force akatafuta pf3, akatafuta cheti cha daktari (alihonga).
Baada ya hapo, akaenda polisi, akakata RB (koote huko alishatafuta watu yeye akisaidiana na ndugu zake). Haya yoote yalikua yanafanyika bila mimi kujua chochote, nimekuja kuyafaham too late.

Akatega siku niko ofisini, nimeondoka tumeagana vizurii kabisa kwa vicheko (Nisijue moyoni anaendelea na mipango ya kuniingiza kwenye 18 zake).
Ile narudi home, nakuta ,kabeba watoto wangu, kabeba hati ya nyumba na eneo, kabeba card ya gari na vyeti vyake vyooooote vya taaluma na ajira (mtumishi wa serikali yeye) akasepa.
Nikaja gundua kuwa ni kaka yake alimfuata.
Basi siku bother kumtafuta. Nikatoa tu taarifa nyumbani kwetu kwa wazee.

E bwana ee, baada ya hapo, nikaanza kupelekewa moto,

- nikapelekwa gender desk police kuwa nimetelekeza na situnzi familia na mimi ni mnyanyasaji, nikapangua mashtaka kwa hoja na vielelezo, kesi kule ikamgeukia yeye, hata hivyo nikamuomba radhi na kumsihi tuyamalize, akagoma kabisaa. Hakuridhika

- wazee wangu wakaja, wakakaa kama familia na familia yake, mbele ya kikao, akamtusi baba angu, akatamka kuwa hanipendi wala hanitaki tena, na hata watoto sitakaa nije kuwaona tena. Nikamsihi, kwann unafanya haya hali wewe ndio sababu ya yote haya mpaka nikakupiga , akagoma katakata, kikao hakikuisha na suluhu ila ndugu zake wakasema hii ndoa lazima ivunjike. Hakuishia hapo

- akanipeleka baraza la usuluhishi la kata, hapa lengo lake ni kupewa form no.3 ili akafungue shauri la kudai talaka mahakamani. Wale wazee wa baraza walipotusikilizaa, wakamuona hana hoja, wakamuuliza wewe ni nani aliyeingilia kati na anakuendesha na kukudanganya? Mmezaa watoto wa 4, unataka talaka ya nini?? Wakamwambia, nenda kajifikirie upya ndio urudi tena, tutakupa. Huku nako akaonekana hana hoja ya msingi, na bado nikawa namsihi aghairi maamuzi yake ila waaap. HAKURIDHIKA

- juzi kati, niko mkoa mmoja kanda ya ziwa, napigiwa simu na mkuu wa upelelezi , kuwa nahitajika kituoni.
NIkasafikiri mpaka dar, kufika na kureport, namkuta wife pale, nikakamatwa na kutiwa ndani ( lockup). Hapo polisi wakachukua funguo za nyumbani kwangu wakampa wife, akaenda akasomba vitu vya ndani, akaondoka kwenda kupanga na kuanza maisha mengine akiwa na watoto, ambao toka alipokimbilia kwao nao mwezi November 2024.

- nikatoka nje kwa dhamana, hata muda huu niko chini ya dhamana na ninatakiwa ku report kituon after every short period of time.

SASA KISA KINAANZIA HAPA JAPO NI KIFUPI
Currently ,nikagundua wife kadhamiria kunikomesha, kazi zangu ni za kusafir, ila kwasasa siwez enda safari zaidi ya week kwasababu natakiwa kituoni kila mara.
Baada ya kuondoka home, imani yangu kwake ikatoweka nikahisi huyu asije nifanyia kitu mbaya, kwa muda nikawa nalala lodge, hiz zote ni gharama natumia.
Kazi zangu ni kama zimekwama.
Kesi yangu kimsingi ni kama imeshatoka polisi, ila chaajabu ni kwamba hawataki kuipeleka mahakamani, wananisumbua sana na masuala ya ku report kila mara kituoni.
Yale matumaini yoote ambayo nilikua nahis huenda hiz za wife ni hasira tu, nikaja gundua she is seriously intending to destroy me.

Shida yangu kubwa, mimi siiwezi michezo ya ubaya ubwela. Mimi ni wale ambao Yesu alisema "mtu akikupokonya koti lako, mwachie na kanzu, pia, akikuambia twende maili moja, wewe nenda maili 2". Kwakifupi, mimi mambo ya kulipiza ubaya siyawezi.

Sasa siku moja nikiwa very frustrated, nikakutana na mwamba mmoja ni mshkaji wangu, class mate tukiwa chuo. Katika hapa na pale nikamsimulia madhira kwa uchache aliyonitendea shemeji yake. Huyu jamaa anamjua wife maana mimi nilizaa mtoto wa kwanza na huyu mama tukiwa chuo mwaka wa kwanza, na ile hustle ya malezi na matunzo walikua wanaiona maana tulikua tuna kaa hostel moja kigamboni nikiwa mwanafunzui ninaye survive kwa pesa ya boom.

Bas nilipomsimulia (hapo kabla sijawekwa ndani) , jamaa akasikitika sana. Akanitia moyo akasema yatakwisha.
Ila mshkaji niliona kalichukulia lile suala kwa uzito sana. Alitamka neno moja tu "ni yule shemeji uliyekua unamhangaikia enzi zile tukiwa chuoni??? (Over 10 years ago)"

Nikamwambia ndio huyo huyo nilioa.Basi jamaa akafikiria akasepa.

Sasa jana jioni nikiwa facebuk, akaniona online, akaniuliza "braza kimya sana, lile jambo vipi linaendeleaje?"

Nikamwambia "jambo limekaa vibaya sana, hapa penyewe nimetoka lockup nina siku 2 tu, niko nje kwa dhamana, shemeji yako kaamua kuninyoosha"

Jamaa hakua na maneno mengi, akaniuliza "hivi shemeji majina yake ni nani?"
Nikamtajia.
Akaniuliza anafanya kazi maeneo gani? Nikamtajia.

Akasema "braza, nitahangaikia hili suala kwaajili yako,wewe ni ndugu yangu tumetoka mbali, siwezi ona unateseka namna hii kisa mwanamke yeye kakaa tu ana enjoy na mmezaa watoto"

Nikauliza , "una plan kufanya nini"
Akasema "huyu, ningepata mchanga wa mahala alipokanyaga nyayo zake ingekua vizuri, ila sio kesi kwakua ushaniambia anafanya kazi maeneo gani, hii pia itasaidia"

Hapa nikashtuka, nikamwambia "braza , naomba kwanza utulie, next week natakiwa ku report kituoni pamoja na yeye, baada ya kusikia nini kinazungumziwa huko nitakupa feedback kwanza"

Akasema "sawa, na kabla hujakwenda huko, nitakuambia nini cha kufanya"

Wakuu, hapa kwa akili yangu ndogo kabisa, nikajua tu kuna "juju" linataka kuandaliwa, wife apigwe "kimbola/kombora" ila nikasema kwanza "hold on".

Wazee mimi si mtu wa mambo hizo.
Na hata kama huyu mama kashaamua kunipiga pini, ila bado tuna watoto nae na anao yeye, hata kama yeye kanikusudia mabaya, honestly mimi bado namuwazia mema.

Japo kwasasa nishaona kuwa hakuna dalili wala matumaini yoyote ya sisi kuwa pamoja tena, na nimeshaanza ku move on, na yeye alishaga move on kitambo i think ndio maana ananitenda ubaya huu.
Mke wa miaka 15, tulioana na kuzaa mapema sana, maana mimi ndio kwanza sasa nina 35 yrs na yeye 36 yrs.
Ila kiukwel kanikusudia mabalaa mabaya sana, na mshkaji wangu anataka kupambana nae kupitia teknolojia ya "anga za juu", ila mimi kiukwel, I DO NOT WISH HER ANYTHING BAD".

Ungechukua uamuzi ganu juu ya msaada kama huu ninaopewa na mdau wangu?

Jioni njema
muache rafiki yako ammalize tu,pole sana
 
Bonge la ushauri wifi, afate huu ushauri wala asijichoshe na huyo mwali kigego..!!

Huyo akili zinafyatukia ukubwani, mume mwenyewe mpole km ana hasira sana si angemrudishia hata na mwiko wa ugoko..!! 😹😹😹
🤣🤣🤣 Angejifanya anaota angemzibua mbao wa tumbo ingekuwa droo🤣🤣
 
Hii ni chai,kesi za ndoa hakuna kulazana lockup kihivyo ,ikitokea ni masaa machache tu,kesi za ndoa sio criminal
Kesi ya kumpiga mtu na kudhuru mwili ni jinai, msidanganyane hapa. The fact that alilala lockup na ana dhamana ambayo inabidi aripoti frequently means kulikua na ushahidi either alimuumiza vibaya au kulikua na mashahidi walioona wakati tukio linafanyika, mbali na hayo yote mwenyewe amesema alikiri kosa. All in all kupiga na kudhuru mwili nje au ndani ya ndoa ni kosa la jinai /criminal offence. Mara nyingi ndani ya ndoa wanawake wanashawishiwa either kutoripoti au kufuta mashtaka na kwenda kuyamaliza nyumbani na ndiyo maana wengi wenu mnafikiri kupiga au kudhuru wanawake siyo jinai.
 
Tuambie ni issue Gani ya kuvunja uaminifu alifanya, what if unamsingizia? Na ndio ikawa source ya hasira zake ?
All in all anazingua .
 
Vita aichagui silaha na vita haina macho.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Watu wengi kwenye hii thread hawataki kukuambia ukweli. Wanamlaumu mkeo kukupeleka polisi, kudai talaka na kukataa suluhu za familia.

Ila ulipoanza kukosea ni kumpiga mkeo, that was your downfall. Ulifikiri baada ya uliyomtendea atakusamehe na yataisha, sasa amekataa kukusamehe wala kuishi na wewe tena. Je umejiuliza kwanini? kwa wanawake wengi, mwenza wako akikupiga mara ya kwanza, haitakua mara ya mwisho (pia inawezekana umeshampiga before now amechoka).

Anyway, hapo hakuna ndoa tena, roho za visasi zimeshaingia na mnaweza kufikishana pabaya zaidi. Fuateni taratibu za kisheria za talaka muachane mazima. Kama unajali kuhusu watoto wako jitahidi kumaliza hii kesi ya kumpiga nje ya mahakama, ukipatikana na hatia ya kesi ya ukatili itaathiri custody ya watoto wako huko mbeleni, hasa kama watoto bado ni wadogo.

Kumroga mkeo siyo solution, watoto wako ndiyo wanaopata shida, na kiroho utakua umechagua kuamini miungu watu na nguvu za giza.

All in all pole sana, tunakuombea uvuke hili pito salama wewe pamoja na watoto wako 🙏.

Ubarikiwe!
 
Kakutukania Baba yako mbele yako na bado una kesi moj tu ya talaka?
 
Wakuu heshima kwenu.
Sipendelei sana kuingia deep kwenye mkasa mzima unaoihusu familia yangu , especially mimi na wife.
Ila kwa kifupi tu, wife alizingua big big big time (usiulize nini maana ni ishu serious sana inayoweza husishwa na suala la uaminifu moja kwa moja)

Na nilipotaka maelezo toka kwake, akanijibu shit kwel kweli, nikaona this is too much, nikamchapa vizuuri tu.
Ila akili ziliponirudia nikaona nimefanya sio kitu kizuri, nikamuomba radhi.

Huu ukawa mwanzo wa mambo mengi sana, wife na ndugu zake waka kaa kikao, wakamshauri kuwa aachane na mimi. Akaanza harakati za kutekeleza maazimio ya kikao chao
Baada ya 10 days, aka force akatafuta pf3, akatafuta cheti cha daktari (alihonga).
Baada ya hapo, akaenda polisi, akakata RB (koote huko alishatafuta watu yeye akisaidiana na ndugu zake). Haya yoote yalikua yanafanyika bila mimi kujua chochote, nimekuja kuyafaham too late.

Akatega siku niko ofisini, nimeondoka tumeagana vizurii kabisa kwa vicheko (Nisijue moyoni anaendelea na mipango ya kuniingiza kwenye 18 zake).
Ile narudi home, nakuta ,kabeba watoto wangu, kabeba hati ya nyumba na eneo, kabeba card ya gari na vyeti vyake vyooooote vya taaluma na ajira (mtumishi wa serikali yeye) akasepa.
Nikaja gundua kuwa ni kaka yake alimfuata.
Basi siku bother kumtafuta. Nikatoa tu taarifa nyumbani kwetu kwa wazee.

E bwana ee, baada ya hapo, nikaanza kupelekewa moto,

- nikapelekwa gender desk police kuwa nimetelekeza na situnzi familia na mimi ni mnyanyasaji, nikapangua mashtaka kwa hoja na vielelezo, kesi kule ikamgeukia yeye, hata hivyo nikamuomba radhi na kumsihi tuyamalize, akagoma kabisaa. Hakuridhika

- wazee wangu wakaja, wakakaa kama familia na familia yake, mbele ya kikao, akamtusi baba angu, akatamka kuwa hanipendi wala hanitaki tena, na hata watoto sitakaa nije kuwaona tena. Nikamsihi, kwann unafanya haya hali wewe ndio sababu ya yote haya mpaka nikakupiga , akagoma katakata, kikao hakikuisha na suluhu ila ndugu zake wakasema hii ndoa lazima ivunjike. Hakuishia hapo

- akanipeleka baraza la usuluhishi la kata, hapa lengo lake ni kupewa form no.3 ili akafungue shauri la kudai talaka mahakamani. Wale wazee wa baraza walipotusikilizaa, wakamuona hana hoja, wakamuuliza wewe ni nani aliyeingilia kati na anakuendesha na kukudanganya? Mmezaa watoto wa 4, unataka talaka ya nini?? Wakamwambia, nenda kajifikirie upya ndio urudi tena, tutakupa. Huku nako akaonekana hana hoja ya msingi, na bado nikawa namsihi aghairi maamuzi yake ila waaap. HAKURIDHIKA

- juzi kati, niko mkoa mmoja kanda ya ziwa, napigiwa simu na mkuu wa upelelezi , kuwa nahitajika kituoni.
NIkasafikiri mpaka dar, kufika na kureport, namkuta wife pale, nikakamatwa na kutiwa ndani ( lockup). Hapo polisi wakachukua funguo za nyumbani kwangu wakampa wife, akaenda akasomba vitu vya ndani, akaondoka kwenda kupanga na kuanza maisha mengine akiwa na watoto, ambao toka alipokimbilia kwao nao mwezi November 2024.

- nikatoka nje kwa dhamana, hata muda huu niko chini ya dhamana na ninatakiwa ku report kituon after every short period of time.

SASA KISA KINAANZIA HAPA JAPO NI KIFUPI
Currently ,nikagundua wife kadhamiria kunikomesha, kazi zangu ni za kusafir, ila kwasasa siwez enda safari zaidi ya week kwasababu natakiwa kituoni kila mara.
Baada ya kuondoka home, imani yangu kwake ikatoweka nikahisi huyu asije nifanyia kitu mbaya, kwa muda nikawa nalala lodge, hiz zote ni gharama natumia.
Kazi zangu ni kama zimekwama.
Kesi yangu kimsingi ni kama imeshatoka polisi, ila chaajabu ni kwamba hawataki kuipeleka mahakamani, wananisumbua sana na masuala ya ku report kila mara kituoni.
Yale matumaini yoote ambayo nilikua nahis huenda hiz za wife ni hasira tu, nikaja gundua she is seriously intending to destroy me.

Shida yangu kubwa, mimi siiwezi michezo ya ubaya ubwela. Mimi ni wale ambao Yesu alisema "mtu akikupokonya koti lako, mwachie na kanzu, pia, akikuambia twende maili moja, wewe nenda maili 2". Kwakifupi, mimi mambo ya kulipiza ubaya siyawezi.

Sasa siku moja nikiwa very frustrated, nikakutana na mwamba mmoja ni mshkaji wangu, class mate tukiwa chuo. Katika hapa na pale nikamsimulia madhira kwa uchache aliyonitendea shemeji yake. Huyu jamaa anamjua wife maana mimi nilizaa mtoto wa kwanza na huyu mama tukiwa chuo mwaka wa kwanza, na ile hustle ya malezi na matunzo walikua wanaiona maana tulikua tuna kaa hostel moja kigamboni nikiwa mwanafunzui ninaye survive kwa pesa ya boom.

Bas nilipomsimulia (hapo kabla sijawekwa ndani) , jamaa akasikitika sana. Akanitia moyo akasema yatakwisha.
Ila mshkaji niliona kalichukulia lile suala kwa uzito sana. Alitamka neno moja tu "ni yule shemeji uliyekua unamhangaikia enzi zile tukiwa chuoni??? (Over 10 years ago)"

Nikamwambia ndio huyo huyo nilioa.Basi jamaa akafikiria akasepa.

Sasa jana jioni nikiwa facebuk, akaniona online, akaniuliza "braza kimya sana, lile jambo vipi linaendeleaje?"

Nikamwambia "jambo limekaa vibaya sana, hapa penyewe nimetoka lockup nina siku 2 tu, niko nje kwa dhamana, shemeji yako kaamua kuninyoosha"

Jamaa hakua na maneno mengi, akaniuliza "hivi shemeji majina yake ni nani?"
Nikamtajia.
Akaniuliza anafanya kazi maeneo gani? Nikamtajia.

Akasema "braza, nitahangaikia hili suala kwaajili yako,wewe ni ndugu yangu tumetoka mbali, siwezi ona unateseka namna hii kisa mwanamke yeye kakaa tu ana enjoy na mmezaa watoto"

Nikauliza , "una plan kufanya nini"
Akasema "huyu, ningepata mchanga wa mahala alipokanyaga nyayo zake ingekua vizuri, ila sio kesi kwakua ushaniambia anafanya kazi maeneo gani, hii pia itasaidia"

Hapa nikashtuka, nikamwambia "braza , naomba kwanza utulie, next week natakiwa ku report kituoni pamoja na yeye, baada ya kusikia nini kinazungumziwa huko nitakupa feedback kwanza"

Akasema "sawa, na kabla hujakwenda huko, nitakuambia nini cha kufanya"

Wakuu, hapa kwa akili yangu ndogo kabisa, nikajua tu kuna "juju" linataka kuandaliwa, wife apigwe "kimbola/kombora" ila nikasema kwanza "hold on".

Wazee mimi si mtu wa mambo hizo.
Na hata kama huyu mama kashaamua kunipiga pini, ila bado tuna watoto nae na anao yeye, hata kama yeye kanikusudia mabaya, honestly mimi bado namuwazia mema.

Japo kwasasa nishaona kuwa hakuna dalili wala matumaini yoyote ya sisi kuwa pamoja tena, na nimeshaanza ku move on, na yeye alishaga move on kitambo i think ndio maana ananitenda ubaya huu.
Mke wa miaka 15, tulioana na kuzaa mapema sana, maana mimi ndio kwanza sasa nina 35 yrs na yeye 36 yrs.
Ila kiukwel kanikusudia mabalaa mabaya sana, na mshkaji wangu anataka kupambana nae kupitia teknolojia ya "anga za juu", ila mimi kiukwel, I DO NOT WISH HER ANYTHING BAD".

Ungechukua uamuzi ganu juu ya msaada kama huu ninaopewa na mdau wangu?

Jioni njema
Kwanza nikupe pole kwa madhila uliyoyapata,pili naomba nikusahihishe kidogo,sio watoto wako ni watoto wenu,mentality ya mwanaume kudai watoto ni wake sio sawa,hao watoto ni wenu wewe na mkeo.
Kuhusu jambo hilo mimi nakushauri mtimizie hitajio lake la kumpa talaka ili wote muwe na amani,utapewa plan ya kuwatunza na kuwaona watoto na wakikua watoto watakutafuta.Unampa kichwa kadri unavyogoma kutoa talaka.Toa talaka na muachie Mungu kila kitu na matokeo utayaona
 
Kwanini usitafute wakili?
Au suala la kulazwa lock up mara kwa mara we unaliona liko sawa?!
 
Back
Top Bottom