Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Kumpenda mtu ni pamoja na kumuacha aende.
Kama kuchukua watoto na kugawana mali ndio furaha yake basi mwachie.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂KabisaKwa jinsi uzi wake ulivyo, huyu mwamba yupo tayari hata kuuawa ilimradi mkewe awe na furaha tu.
Tayari wanyaki washafanya yao muulize aliwahi kulishwa niniWe unanitia hasira tu, kwanza hamshaurikagi nyie.....nina ndugu yangu yupo kama wewe, huwa natamani nimtie vibao.
Hakuiheshimu ndoa.Nilikuta picha za hovyo kwenye simu yake, na video anaogelea kwenye swimming pool na wanaume
Huyo hataki amuache aende huyo nia ni kummaliza mwamba apoteee kabisa kwenye uso wa dunia hiiKumpenda mtu ni pamoja na kumuacha aende.
Kama kuchukua watoto na kugawana mali ndio furaha yake basi mwachie.
Bro, wewe ni mwanaume dhaifu sana na mkeo analijua ilo. Huyo rafiki yako anataka kukupa msaada amfunge huyo mwanamke kwa sababu ni mzoefu wa mikasa ya namna hiyo ulipomueleza tu akasoma mwisho wako ni nini. Ila kwa kuwa wewe ni dhaifu basi unastahili kukutwa na kila anguko na utashuhudia anguko lako kama unatazama muvi.Wakuu heshima kwenu.
Sipendelei sana kuingia deep kwenye mkasa mzima unaoihusu familia yangu , especially mimi na wife.
Ila kwa kifupi tu, wife alizingua big big big time (usiulize nini maana ni ishu serious sana inayoweza husishwa na suala la uaminifu moja kwa moja)
Na nilipotaka maelezo toka kwake, akanijibu shit kwel kweli, nikaona this is too much, nikamchapa vizuuri tu.
Ila akili ziliponirudia nikaona nimefanya sio kitu kizuri, nikamuomba radhi.
Huu ukawa mwanzo wa mambo mengi sana, wife na ndugu zake waka kaa kikao, wakamshauri kuwa aachane na mimi. Akaanza harakati za kutekeleza maazimio ya kikao chao
Baada ya 10 days, aka force akatafuta pf3, akatafuta cheti cha daktari (alihonga).
Baada ya hapo, akaenda polisi, akakata RB (koote huko alishatafuta watu yeye akisaidiana na ndugu zake). Haya yoote yalikua yanafanyika bila mimi kujua chochote, nimekuja kuyafaham too late.
Akatega siku niko ofisini, nimeondoka tumeagana vizurii kabisa kwa vicheko (Nisijue moyoni anaendelea na mipango ya kuniingiza kwenye 18 zake).
Ile narudi home, nakuta ,kabeba watoto wangu, kabeba hati ya nyumba na eneo, kabeba card ya gari na vyeti vyake vyooooote vya taaluma na ajira (mtumishi wa serikali yeye) akasepa.
Nikaja gundua kuwa ni kaka yake alimfuata.
Basi siku bother kumtafuta. Nikatoa tu taarifa nyumbani kwetu kwa wazee.
E bwana ee, baada ya hapo, nikaanza kupelekewa moto,
- nikapelekwa gender desk police kuwa nimetelekeza na situnzi familia na mimi ni mnyanyasaji, nikapangua mashtaka kwa hoja na vielelezo, kesi kule ikamgeukia yeye, hata hivyo nikamuomba radhi na kumsihi tuyamalize, akagoma kabisaa. Hakuridhika
- wazee wangu wakaja, wakakaa kama familia na familia yake, mbele ya kikao, akamtusi baba angu, akatamka kuwa hanipendi wala hanitaki tena, na hata watoto sitakaa nije kuwaona tena. Nikamsihi, kwann unafanya haya hali wewe ndio sababu ya yote haya mpaka nikakupiga , akagoma katakata, kikao hakikuisha na suluhu ila ndugu zake wakasema hii ndoa lazima ivunjike. Hakuishia hapo
- akanipeleka baraza la usuluhishi la kata, hapa lengo lake ni kupewa form no.3 ili akafungue shauri la kudai talaka mahakamani. Wale wazee wa baraza walipotusikilizaa, wakamuona hana hoja, wakamuuliza wewe ni nani aliyeingilia kati na anakuendesha na kukudanganya? Mmezaa watoto wa 4, unataka talaka ya nini?? Wakamwambia, nenda kajifikirie upya ndio urudi tena, tutakupa. Huku nako akaonekana hana hoja ya msingi, na bado nikawa namsihi aghairi maamuzi yake ila waaap. HAKURIDHIKA
- juzi kati, niko mkoa mmoja kanda ya ziwa, napigiwa simu na mkuu wa upelelezi , kuwa nahitajika kituoni.
NIkasafikiri mpaka dar, kufika na kureport, namkuta wife pale, nikakamatwa na kutiwa ndani ( lockup). Hapo polisi wakachukua funguo za nyumbani kwangu wakampa wife, akaenda akasomba vitu vya ndani, akaondoka kwenda kupanga na kuanza maisha mengine akiwa na watoto, ambao toka alipokimbilia kwao nao mwezi November 2024.
- nikatoka nje kwa dhamana, hata muda huu niko chini ya dhamana na ninatakiwa ku report kituon after every short period of time.
SASA KISA KINAANZIA HAPA JAPO NI KIFUPI
Currently ,nikagundua wife kadhamiria kunikomesha, kazi zangu ni za kusafir, ila kwasasa siwez enda safari zaidi ya week kwasababu natakiwa kituoni kila mara.
Baada ya kuondoka home, imani yangu kwake ikatoweka nikahisi huyu asije nifanyia kitu mbaya, kwa muda nikawa nalala lodge, hiz zote ni gharama natumia.
Kazi zangu ni kama zimekwama.
Kesi yangu kimsingi ni kama imeshatoka polisi, ila chaajabu ni kwamba hawataki kuipeleka mahakamani, wananisumbua sana na masuala ya ku report kila mara kituoni.
Yale matumaini yoote ambayo nilikua nahis huenda hiz za wife ni hasira tu, nikaja gundua she is seriously intending to destroy me.
Shida yangu kubwa, mimi siiwezi michezo ya ubaya ubwela. Mimi ni wale ambao Yesu alisema "mtu akikupokonya koti lako, mwachie na kanzu, pia, akikuambia twende maili moja, wewe nenda maili 2". Kwakifupi, mimi mambo ya kulipiza ubaya siyawezi.
Sasa siku moja nikiwa very frustrated, nikakutana na mwamba mmoja ni mshkaji wangu, class mate tukiwa chuo. Katika hapa na pale nikamsimulia madhira kwa uchache aliyonitendea shemeji yake. Huyu jamaa anamjua wife maana mimi nilizaa mtoto wa kwanza na huyu mama tukiwa chuo mwaka wa kwanza, na ile hustle ya malezi na matunzo walikua wanaiona maana tulikua tuna kaa hostel moja kigamboni nikiwa mwanafunzui ninaye survive kwa pesa ya boom.
Bas nilipomsimulia (hapo kabla sijawekwa ndani) , jamaa akasikitika sana. Akanitia moyo akasema yatakwisha.
Ila mshkaji niliona kalichukulia lile suala kwa uzito sana. Alitamka neno moja tu "ni yule shemeji uliyekua unamhangaikia enzi zile tukiwa chuoni??? (Over 10 years ago)"
Nikamwambia ndio huyo huyo nilioa.Basi jamaa akafikiria akasepa.
Sasa jana jioni nikiwa facebuk, akaniona online, akaniuliza "braza kimya sana, lile jambo vipi linaendeleaje?"
Nikamwambia "jambo limekaa vibaya sana, hapa penyewe nimetoka lockup nina siku 2 tu, niko nje kwa dhamana, shemeji yako kaamua kuninyoosha"
Jamaa hakua na maneno mengi, akaniuliza "hivi shemeji majina yake ni nani?"
Nikamtajia.
Akaniuliza anafanya kazi maeneo gani? Nikamtajia.
Akasema "braza, nitahangaikia hili suala kwaajili yako,wewe ni ndugu yangu tumetoka mbali, siwezi ona unateseka namna hii kisa mwanamke yeye kakaa tu ana enjoy na mmezaa watoto"
Nikauliza , "una plan kufanya nini"
Akasema "huyu, ningepata mchanga wa mahala alipokanyaga nyayo zake ingekua vizuri, ila sio kesi kwakua ushaniambia anafanya kazi maeneo gani, hii pia itasaidia"
Hapa nikashtuka, nikamwambia "braza , naomba kwanza utulie, next week natakiwa ku report kituoni pamoja na yeye, baada ya kusikia nini kinazungumziwa huko nitakupa feedback kwanza"
Akasema "sawa, na kabla hujakwenda huko, nitakuambia nini cha kufanya"
Wakuu, hapa kwa akili yangu ndogo kabisa, nikajua tu kuna "juju" linataka kuandaliwa, wife apigwe "kimbola/kombora" ila nikasema kwanza "hold on".
Wazee mimi si mtu wa mambo hizo.
Na hata kama huyu mama kashaamua kunipiga pini, ila bado tuna watoto nae na anao yeye, hata kama yeye kanikusudia mabaya, honestly mimi bado namuwazia mema.
Japo kwasasa nishaona kuwa hakuna dalili wala matumaini yoyote ya sisi kuwa pamoja tena, na nimeshaanza ku move on, na yeye alishaga move on kitambo i think ndio maana ananitenda ubaya huu.
Mke wa miaka 15, tulioana na kuzaa mapema sana, maana mimi ndio kwanza sasa nina 35 yrs na yeye 36 yrs.
Ila kiukwel kanikusudia mabalaa mabaya sana, na mshkaji wangu anataka kupambana nae kupitia teknolojia ya "anga za juu", ila mimi kiukwel, I DO NOT WISH HER ANYTHING BAD".
Ungechukua uamuzi ganu juu ya msaada kama huu ninaopewa na mdau wangu?
Jioni njema
Bora kina manka wapumzishweNna experience na hao watu aisee ila basi ngoja nisitie neno Bwana ametoa Bwana ametwaa twambombo mpaka ahakikishe umelamba mchanga abakie na watoto tembelea kwa wajane kule ukapate darasa
Ndio nimekuja mkuu nimesikia unaniita unasemaje?Let her go!
Mfungulie kesi sasa, umetishiwa kuuliwa.Ndicho mzee wangu ameniambia pia
Kabisa mkuu...huyu jamaa bado hajawajua vizur wanawake...huyu mwanamke hatokaa kumuacha jamaa afurahi either jamaa afungwe au afeAkizubaa anatangulizwa yeye, unice umemzidia jamaa mpaka kiburi ya mkewe inazidi kuongezeka. Kadri unavyozidi kujishusha na kumbembeleza ke ndio kiburi yake inapanda kwa level hiyo hiyo.
Blood nilitak kuku ita ushafk sema neno
Msikilize mzee wako.....mtu yeyote mwenye kuwajua wanawake vizuri lazima akwambie hivyo.Ndicho mzee wangu ameniambia pia
Huyu jamaa tukimuwahi mbona hatouliwa😂😂😂Nimecheka kwa sauti kubwa 😅😅😅😅😅😅 Fanton Mahal
Yeye hataki afungwe anataka afeKabisa mkuu...huyu jamaa bado hajawajua vizur wanawake...huyu mwanamke hatokaa kumuacha jamaa afurahi either jamaa afungwe au afe
Hao kina Atupele Mwakajumba wakikuamulia kimbia hama Nchi kabisa usionekane tenaBora kina manka wapumzishwe
Tuhamie kwa akina atu
Mbona anaonekana bado anampenda sana mke wake 😅😅Huyu jamaa tukimuwahi mbona hatouliwa😂😂😂
Siwezi oa wanyaki nasikia wana midomo so poa......Hao kina Atupele Mwakajumba wakikuamulia kimbia hama Nchi kabisa usionekane tena
Tatizo ni kukuzidi mwaka mmojaWakuu heshima kwenu.