Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

Jamaa ana akili sana, hizo hizo akili ndo alizitumia kupata hizo 300M 🙌

Familia watafute daktari wao binafsi awe wa familia, afu daktari atoe maelezo kuwa mgonjwa wake huyo anatakiwa kuwa karibu na familia yake ili apone.
 
Hawa kina "Mallya" janjajanja sana mjini humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…