Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

Huyu Rais. Tuliyenae anatumia vibaya nafasi yake kuinufaisha Zanzibar.
Ndio, amegundua Watanganyika ni mazuzu kwenye kutetea maslahi yao.

Lakini hata bila Samia Tanganyika bado imekuwa ikibakwa siku zote kwenye huu Muungano.

Balozi Ali Karume katika huu uamsho wake mpya wa kisiasa kasema Mu-Unguja hawezi hata kupata ardhi Pemba, anabaguliwa, lakini akienda Bara hakuna maswali, ardhi ubwete, Zanzibar kasema inafaidi Muungano. Akatahadharisha kwamba siku Watanganyika wakiamka usingizini "wakalichekecha," Zanzibar itakoma kuringa. Ally Karume huyo, wazi wazi.

Tanganyika na vichwa vyetu vizito kipi hapo bado hatukielewi kuhusu mzigo wa Muungano?
 
Labda tuhoji matumizi na vipaombele kati ya Bara na Visiwani....
Sasa kama Vipaombele walivyowasilisha vinamashiko(Utekelezaji tuache kwanza) na kuonekana ni vya msingi, sisi vya kwetu ikaonekana vimekaa kimchongo, basi mwenye mipango mizuri anapewa..
 
Wenzetu wanajenga shule za ghorofa sisi tumeng'ang'ana na za chini.
Halafu tunashangaa matumizi yao yakiwa makubwa.

Pia wanatamanubsanankuwa na shuke za chini kama za kwetu, lakini ardhi yao ndogo, inabidi waende juu ili japo kubaki na viwanja vya watoto kufanya michezo yao.

Majengo ya kwenda juu ni hatari sana kwa wanafunzi, inabidi uangalizi wa hali ya juu. Hawana budi, ni lazima gharama zao ziwe juu.
 
Ukweli umejulikana
 
Dar waliianzisha wao, usisahau hilo.
 
Nilipomsikia yule waziri anajinqsibu kuhusu shule za ghorofa nikasema bajeti lazima ipae hapa.
 
Mtoa mada unahasira ya nini, bajeti ni makisio ya matumizi kwa mwaka husika kulingana na matarajio ya makusanyo ya kodi kupitia vyanzo mbalimbali vya upatikanaji wa fedha. Ngoja uone kile kiwango halisi cha fedha kitakachokuja kutumika kutekeleza malengo ya bajeti hiyo.

ACHA KIHEREHERE ZANZIBAR INADANYA MAMBO YAKE KWA NAMNA YAKE USIUMIZWE NA MIPANGO TUU.

ZANZIBAR IKO KIMYA MUDA MREFU WAKATI TANGANYIKA INAITAFUNA KWA MAUMIVU MAKALI.

WAZANZIBARI HAWAJAWAHI KUTAMANI KUWA KWENYE MUUNGANO MNAOUONA KUWA WAZANZIBARI WANANUFAIKA NAO HIVI SASA KINACHOWAUMA KATILA NAFSI ZENU KUONA SAMIA ANAJARIBU KUSIMAMIA HAKI NA UWIANO KATIKA MUUNGANO MNAANZA MAKALELE .

MNYAMAZE TUUU.

HAKIKA MUNGU NDIYE HAKIMU WA HAKI
 
Ulisoma Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ,mambo mengi sana ya Zanzibar yametajwa mpaka unaweza jistukia kwamba huyu Waziri wa Zanzibar inakuaje?
 
Huu Sasa ni uongo,usisahau ukisikia Tanzania inaongoza Kwa Utalii Africa ujue ni Zanzibar
 
Hizo pesa wanapewa na bitozo kutoka kwa wadanganyika
 
Eeeewa Zanzibar wanashusha shule za ghorofa Ila bongobara haya matoto huwezi kuyapandisha juu hivyo vifo hutotaka usimuliwe, Bora tujenge chini tu
😁😁😁😁 Lakini pia Wabongo wengi uelewa ni zero brain.

Elimu Kwa Tanzania Bara inasimamiwa na Wizara 2,Tamisemi wanaosimamia Nursery Hadi Form 6 na Wizara ya Elimu wanasimamia sana sana universities plus miongozo ya kisera basi ,vyuo vya kati vingine viko kwenye Wizara za kisekta wanavisimamia wao..

Kwa hiyo ukichukua Bajeti ya Tamisemi na ya Wizara ya Elimu unapata zaidi ya Til.10.7
 
Pesa yote itatoka bara kwa wajinga
 
Huyu Rais. Tuliyenae anatumia vibaya nafasi yake kuinufaisha Zanzibar.
Mpaka amalize kipindi chake Zanzibar itakuwa kama Dubai, sahivi anataka Rais wa Zanzibar awe na ofisi Ikulu ya Dodoma mara Bagamoyo ni ardhi ya Zanzibar tushituke, fedha zote hizo zitatoka bara kwenda kuijenga Zanzibar tusiwe wajinga tuamke nchi yetu inaliwa hawa wadini wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…