Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Hiko kijiji kinachojiita zanzbar ni kichaka cha samia na genge lake la kuchota fedha za uma na kubarikiana ili badae wale starehe na kuponda mali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar hapana hizo hela sijui huwa zinaenda wapi mishahara ya walimu na watendaji wao tu huko mkitajiwa hapa mnaweza kimbia wale watu ni pesa wanawapa na majini..Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B.
Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln.
Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo la Muungano. Lakini Kuna msawal hayana majibu.
1.Idadi ya wanafunzi wote Zanzibar hawafiki lak 5.
2. Idadi ya wanafunzi wa Darasa la saba waliofanya mtihani Zanzibar mwaka jana hawafiki elf 40.
3. Idadi ya wanafunzi Tanzania Bara ni zaid ya milion 10.
Kwa Muktadha huo.
Bajet ya Elimu Zanzibar kwa kila mwanafunzi Zanzibar ni wastani wa Shil 900,000(Laki Tisa), Wakati Tanzania Bara ni shiling 150,000(Laki na Hamsini Elfu)
Swali la kujiuliza, ni kwel Zanzibar inapendelewa au inajiliza ili ipendelewe hasa kwenye maswala kodi za Chakula, vifaa nk?
Juzi tu hapa tunataka kusamehe deni la umeme zaidi ya Bil 60, kwenye nchi inayotuzidi bajeti ya elimu?
Watanganyika hawa hawa ndio unaowaongelea mkuu au kuna toleo lingine?Ndo Muungano Nyerere alikosea ila kwa sisi wabara ni swala la mda tu haitakuwa hivi
Ukitizama kwa jicho lingine, utaona hapo ndipo Muungano ulipofikia. Yaani mambo mengine ni sawa na matusi.Thread nzuri kweli. Ila matusi yakishika hatamu, thread yapoteza mvuto....
Kuna mengi, unaliliona ni sehemu tu. Tatizo ni kizazi kilichopo. Huko nyuma yalitokea haya:Nguruvi3 ,Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla na wajumbe wengine wa JF. Karibuni.
Kumradhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Ungemjibu tu huna utelezi ingetosha kwani hajui we ni ajuza sasa?Vipi wewe mbona upo hapa saa hizi, huna mume?
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B.
Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln.
Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo la Muungano. Lakini Kuna msawal hayana majibu.
1.Idadi ya wanafunzi wote Zanzibar hawafiki lak 5.
2. Idadi ya wanafunzi wa Darasa la saba waliofanya mtihani Zanzibar mwaka jana hawafiki elf 40.
3. Idadi ya wanafunzi Tanzania Bara ni zaid ya milion 10.
Kwa Muktadha huo.
Bajet ya Elimu Zanzibar kwa kila mwanafunzi Zanzibar ni wastani wa Shil 900,000(Laki Tisa), Wakati Tanzania Bara ni shiling 150,000(Laki na Hamsini Elfu)
Swali la kujiuliza, ni kwel Zanzibar inapendelewa au inajiliza ili ipendelewe hasa kwenye maswala kodi za Chakula, vifaa nk?
Juzi tu hapa tunataka kusamehe deni la umeme zaidi ya Bil 60, kwenye nchi inayotuzidi bajeti ya elimu?
Wazanzibari ndo hawataki Muuungano kabisa ...Nikiwa kama mtanganyika sioni Tija yeyote kufungamana na Zanzibar
Zanzibar ni kupe anatunyonya
Sielewi ni kwanini tunamkumbatia kupe asie Tija kwetu.
Hii nchi na muungano wake ni Moja kati maajabu ya dunia
Wewe ndio leo wa kumsema yule chizi wenu wa ccm kweli?Kama ananufaisha kwao basi anatumia madaraka vizuri, kwani inteneshinali eyapoti chato hujaiona?
Mtanikumbuka!Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B.
Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln.
Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo la Muungano. Lakini Kuna msawal hayana majibu.
1.Idadi ya wanafunzi wote Zanzibar hawafiki lak 5.
2. Idadi ya wanafunzi wa Darasa la saba waliofanya mtihani Zanzibar mwaka jana hawafiki elf 40.
3. Idadi ya wanafunzi Tanzania Bara ni zaid ya milion 10.
Kwa Muktadha huo.
Bajet ya Elimu Zanzibar kwa kila mwanafunzi Zanzibar ni wastani wa Shil 900,000(Laki Tisa), Wakati Tanzania Bara ni shiling 150,000(Laki na Hamsini Elfu)
Swali la kujiuliza, ni kwel Zanzibar inapendelewa au inajiliza ili ipendelewe hasa kwenye maswala kodi za Chakula, vifaa nk?
Juzi tu hapa tunataka kusamehe deni la umeme zaidi ya Bil 60, kwenye nchi inayotuzidi bajeti ya elimu?
Idadi ya watu ya Zanzibar si moja ya tatu (1/3) ya Tanzania bara? Kwahiyo mambo hayako kimzania.Sijaelewa tatizo nini?
Hiyo hesabu uliyoweka mbona sioni kinachokaribia nusu hapo? Naona inakaribia moja ya tatu 1/3.
Vipi, hesabu zinakupiga chenga?