Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Maria Nyerere
Siti & Hadija Mwinyi
Janeth Magufuli
Mama Lowasa
Mke Kingunge Ngomable Mwiru

Kuna ukweli..
Umetaja viongozi tupu na mimi ngoja nikutajie wazee kumi ambao wake zao wamefariki wakiwaacha wao wapweke

Mzee magori, baba kitia, mzee kimwaga, Mzee kibuya,Mzee Tesha, Mzee kapanga, mzee ngota, Mzee Mwamkonda, Mzee siogopi, hawa ni baadhi wake zao wamefariki wakiacha wanaume zao.
 
Back
Top Bottom