Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Kwa hiyo wewe ukisikia mtu kutokuwa na kifua ni kulia hadi kwikwi sio?
Kuwa na kifua maana yake kuweza kuzuia mihemko ya kihisia ikiwemo umbea umbea, kulia lia, kuzungumza hovyo matatizo yako, kutaka kuhurumiwa. Mambo ya kike kike.
 
Kuwa na kifua maana yake kuweza kuzuia mihemko ya kihisia ikiwemo umbea umbea, kulia lia, kuzungumza hovyo matatizo yako, kutaka kuhurumiwa. Mambo ya kike kike.

Kutoa yanayokuumiza sio kulia lia...mwanaume ni binadamu pia
 
Punguzeni complications za maisha zinawaumiza vichwa. Mnawaza dunia ni yenu, nyie ndo mna akili wanawake wanapaswa wafuate maelekezo yenu yote, mnatakiwa mpewe heshima na kila kiumbe, mnatakiwa muabudiwe na hela muwe nazo ninyi ikitokea tofauti
mnapata stress.
Punguzeni mambo mengi ya chini kwa chini ambayo hamuwezi share na wake zenu mnafikiri zenu
zenu mnafikiri ndo uanaume
Sasa tukifanya ivoo. Hakutakuwa na balance mwanaume lzma aprovide, hii ndo nature kuhs lifespan ndivyo inatakiwa kua coz mwanamke anatakiwa aishi sana, Ili aendeleze uzao.. ndo maana wanawake mpo wengi. Ndo nature ambayo creator aliiacha.
 
Sasa kumbe majibu mnayajua af tukianza kulialia mnatutema ila wanawake jamn! 🤣
Mmmh unanirudisha shule eeh!!!
They love their families...
They protect and take care of their families...
And hawa complain kuhusu pesa...ila wanatafuta means za kupata more pesa .😄
 
Kutoa yanayokuumiza sio kulia lia...mwanaume ni binadamu pia
Ok, Unatoa yanayokuumiza kwa mfumo upi? Maana sio kuwa tunakaa na vitu moyoni kama mnavyodhani, tunakutana huko bar, makanisani na kwengine tunazungumza changamoto zetu, tunakopeshana n.k
 
Sasa tukifanya ivoo. Hakutakuwa na balance mwanaume lzma aprovide, hii ndo nature kuhs lifespan ndivyo inatakiwa kua coz mwanamke anatakiwa aishi sana, Ili aendeleze uzao.. ndo maana wanawake mpo wengi. Ndo nature ambayo creator aliiacha.
Wanataka wanaume wawe kama wanawake ili waishi sana kwa gharama ya kuvuruga mpangilio/balance.
 
Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni

Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
Hii ni illegal kabs itanifanya nijione dhaif. A real man has emotional control.
 
Ok, Unatoa yanayokuumiza kwa mfumo upi? Maana sio kuwa tunakaa na vitu moyoni kama mnavyodhani, tunakutana huko bar, makanisani na kwengine tunazungumza changamoto zetu, tunakopeshana n.k

Mnatoa yaliyo moyoni kwa mfumo unaoona ni sawa kwako...muhimu uyatoe
 
Wanataka wanaume wawe kama wanawake ili waishi sana kwa gharama ya kuvuruga mpangilio/balance.
Wanawake hawaelewk kbs unaenda gym unakuambia upunguze, then mwili unapungua anatatfa mwingine mwenye mwili. Daah ukiwasikiliza sana unapotea!
 
Mnatoa yaliyo moyoni kwa mfumo unaoona ni sawa kwako...muhimu uyatoe
Sisi huwa tunazungumza. Hata akiwa na familia ya siri kuna rafiki atakuwa na hiyo taarifa. Hata kama ni padri amezaa yupo mtu wake atakuwa na hiyo taarifa. Hakuna scenario ambayo huwa inabebwa tu haitolewi sijui labda mauaji ila mambo mengi we talk ila kwa nidhamu na mara nyingi tunaozungumza nao wana vifua vya kutokuzungumza hovyo tofauti na wanawake.
 
Wanawake hawaelewk kbs unaenda gym unakuambia upunguze, then mwili unapungua anatatfa mwingine mwenye mwili. Daah ukiwasikiliza sana unapotea!
Wanaongozwa na mihemko. Muhemko ukimwambia hupendwi haijalishi kuwa anapendwa ataanzisha ugomvi kuwa humpendi. Bahati mbaya kuna wanaume nao wana mihemko siku hizi.
 
Mmh mkuu unavyosema ni kweli ila hilo la kudundwa na mke wangu alafu niseme yaani nimejaribu ku imagine mfano limetokea kwangu kwa kweli roho imekataa kabisaa kusema. Tunapitia mengi mkuu umekopa gari wife kaligonga alafu anachukua lako roho inauma inabidi uuchune tu asiuwashe moto, hapo bado upwiru unapwita mtu yuko busy na watoto. Daa haya bana.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Daah mzee umeongea Kwa uchungu sana, hata mm naimagine hapa haingii akilini kabisa! Et wanangu Shem kanichapa mabanz asbuhi! Like seriously 🤣
 
Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni

Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
sio kweli wanaume wanakufa mapema kwa sababu ya kuoa watu walio chini ya umri wao mfano mwanaume amepishana na mkewe miaka 10, 15 unategemea nini hilo hawalitambua kama mi mwongo mwanaume aoe mtu alie lingana nae umri alafu majibu mtapata vizaz vya mababu zetu wengi walitangulia wake zao hata wewe fuatilia historia za babu zako utanipa jibu
 
Wanaongozwa na mihemko. Muhemko ukimwambia hupendwi haijalishi kuwa anapendwa ataanzisha ugomvi kuwa humpendi. Bahati mbaya kuna wanaume nao wana mihemko siku hizi.
Hawatumii logic hio ndo nature Yao, na kwel kabs mamen wengine wamekua na femininity sku izi, malez mabay na utandawaz vimechangia.
 
Back
Top Bottom