Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Punguzeni complications za maisha zinawaumiza vichwa. Mnawaza dunia ni yenu, nyie ndo mna akili wanawake wanapaswa wafuate maelekezo yenu yote, mnatakiwa mpewe heshima na kila kiumbe, mnatakiwa muabudiwe na hela muwe nazo ninyi ikitokea tofautiSina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso.
Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.
Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.
Mungu awabariki sana Wanaume
mnapata stress.
Punguzeni mambo mengi ya chini kwa chini ambayo hamuwezi share na wake zenu mnafikiri zenu
zenu mnafikiri ndo uanaume