Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Tungekuwa tunadandia tuu kama kuku bila maswali ya kuomba hela tungeishi sawa sawa tuu.
Sasa ukiomba namba tuu balaa
Sijala
Kodi
Bibi anaumwa
Simu kubwa imepasuka
BD
Mtaji
Ada
Sasa kukaa na mishahawa muda mwingi na nyege lazima mwili uchakae mapema.
Hahaaaa
 
Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.

Kweli wanaume tumeumbwa mateso.

Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.

Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.

Mungu awabariki sana Wanaume
Wanawake wakiweza kutuambia ukweli bila hiana waliongea nini na nyoka pale bustanini basi tutajua ni kwanini wanaume tunakufa mapema kuliko wao.
 
Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.

Kweli wanaume tumeumbwa mateso.

Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.

Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.

Mungu awabariki sana Wanaume
Jembe likimaliza kazi linatudi store

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume mnakufa haraka sababu ya kuweka mambo mengi moyoni

Hebu anzeni kuzungumza yanayowasibu muone mtakavyoishi...wewe hata mke wako akikupiga sema
Mmh mkuu unavyosema ni kweli ila hilo la kudundwa na mke wangu alafu niseme yaani nimejaribu ku imagine mfano limetokea kwangu kwa kweli roho imekataa kabisaa kusema. Tunapitia mengi mkuu umekopa gari wife kaligonga alafu anachukua lako roho inauma inabidi uuchune tu asiuwashe moto, hapo bado upwiru unapwita mtu yuko busy na watoto. Daa haya bana.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kifua chenu ndio kinachowawahisha kaburini
Si kweli, ndo maana nasemaga msiwazalishe wanawake mkawakimbia, esp anapopata mtoto wa kiume. Wanawakuza kuwa too soft and weak.

Hatuwezi kuwa na jamii ambayo pakiwa na tatizo mwanamke analia na mwanaume analia. Lazima mmoja awe na kifua cha kulibeba hilo tatizo.

Imagine mmevamiwa mmeibiwa majirani wanakuja baba analia hadi kwikwi mama anapiga ukunga huku wamekumbatiana.

Unaona ipo sawa?
 
Kwa hiyo wewe ukisikia mtu kutokuwa na kifua ni kulia hadi kwikwi sio?
 
Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.

Kweli wanaume tumeumbwa mateso.

Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.

Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.

Mungu awabariki sana Wanaume
Utafiti wako hauna kina wala mashiko
 
Back
Top Bottom