Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Lazima wanaume wafe kabla ya wake zao(wengi na si wote)kwa sababu:-
-wanaume huoa wakiwa na umri mkubwa (5-30 yrs)ukilinganisha na wanawake,
-kazi nyingi,ngumu na hatari hufanywa na wanaume,
-wanaume hujielekeza kwenye matendo na maisha yenye kuhatarisha na kufupisha maisha yao kinyume na wanawake(kunguru)ambao hukimbiza mbawa zao.Huhusisha hadi namna ya kula,kunywa na matumizi makubwa ya nguvu kiakili.
Sawa
 
Ila Mwisho wao hua mfupi 50 hii hapa Kisukari hiki hapa hajakaa vizuri tezi Dume hii hapa anaenda kupigwa kidole kuwekwa Sawa hajakaa vizuri presha hii hapa hapo katika 70 hajakaa vizuri homa ya mapafu hii hapa hajakaa vizuri Mwanaume hafiki mbali

Bibi yangu anaishi huu Mwaka wake wa 30 bila Babu Ila Bibi bado yupo mpaka leo na nahisi amezaliwa 1890 huko Ila mpaka leo bado yupo
I think wanawake
We are responsible for our men health!!!
We need to take care of them. Tuwapunguzie stress....ila only if....watatoa ushirikiano.
 
I think wanawake
We are responsible for our men health!!!
We need to take care of them. Tuwapunguzie stress....ila only if....watatoa ushirikiano.
Yes of course, Ila hamuwezi kuzuia wasife kufa lazima wafe maana it's a law of nature nyinyi muishi Sisi tufe

Mwanaume kukupa mimba wewe ukazaa mtoto ni sehemu ya uponyaji kidonda chako kimepata matibabu
 
Back
Top Bottom