RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 2,021
- 4,488
Adverts Applied 8
Shortlisted 8
Interview Attended 5
Oral Interview Attended 1
Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea kufika hadi oral na ndio job yangu iyo kwa sasa, kwa iyo vijana msikate tamaa kujaribu mara kwa mara kuapply kazi pia jitahidi kujiandaa vya kutosha na kumuomba mungu one day yes, na sio kulia lia mtu kapiga interview moja tu ameshakata tamaaa na kulialia juu kwa mtindo huo hamtotoboa mi mwenyewe nimewahi pitia izo hatua za kulialia na kuamini kila kitu connection balaa ila nikaamua sasa yatosha nikapambana kujiandaa na maombi na nikatoboa.
Nawatakia mapambano mema.