Mkuu matusi yale yote ulonitukana Leo nimekuja kwa ID yangu nyingine unaanza kujiliza tena ushasahau kama ushaniita fukara ๐Sawa mkuu nisaidie 3k kijana mwezio nipate ugali parachichi!
Being jobless sucks ๐
Akiomba kazi ๐คฃ๐คฃ4 yrs ulikuwa ukifanya mishe gani
SafiiInterview 3 bila kuitwa oral zilitosha kuniambia kuwa huo haukuwa upande wangu....jaribu na upande mwengine weka vyeti kabatini
Alhamdulillah miaka 5 sasa,npo nawasaili vijana wakae kwenye kibanda changu
Utoe Sasa Zaka na sadaka!Adverts Applied 8
Shortlisted 8
Interview Attended 5
Oral Interview Attended 1
Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea kufika hadi oral na ndio job yangu iyo kwa sasa, kwa iyo vijana msikate tamaa kujaribu mara kwa mara kuapply kazi pia jitahidi kujiandaa vya kutosha na kumuomba mungu one day yes, na sio kulia lia mtu kapiga interview moja tu ameshakata tamaaa na kulialia juu kwa mtindo huo hamtotoboa mi mwenyewe nimewahi pitia izo hatua za kulialia na kuamini kila kitu connection balaa ila nikaamua sasa yatosha nikapambana kujiandaa na maombi na nikatoboa.
Nawatakia mapambano mema.
It's is in public domain kwamba Mimi ni fukara na ni winga.Mkuu matusi yale yote ulonitukana Leo nimekuja kwa ID yangu nyingine unaanza kujiliza tena ushasahau kama ushaniita fukara ๐
Sasa kama wewe ni winga huyo mfanyakazi ndio anatakiwa kukuomba wewe hata buku 3.It's is in public domain kwamba Mimi ni fukara na ni winga.
Wala sijawahi kujificha,wewe ni kapuku unayepretend maisha ni safi na ni pro government.
Disgrace
Mimi ni winga wa electronics za aina zote.
AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer.
Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu.
Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu.
Niungeni mkono wakuu๐
Nipo kariakoo ๐
For quick response
Whatsapp 0617129135
- Hornbil
- mimi mkono sana wakuu winga
- Replies: 401
- Forum: Matangazo madogo
Sasa kama wewe ni winga huyo mfanyakazi ndio anatakiwa kukuomba wewe hata buku 3.
Wafanyakazi waone hivyo hivyo wanaishi maisha magumu full bajeti na mikopo. Mwisho wa mwezi ndio wanapata nafuu ambayo nayo inadumu kwa siku kadhaa tu.
Sasa jooohs afanye nini na hiyo post? Au jua kali Bro? ๐Habari za jioni wakuu
Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu
Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani
Mwenye mchongo wowote tushtuane wakuu tusikunjiane
Lamomy
Mjusi Sharobalo
- Foffana
- kazi naomba naomba kazi
- Replies: 97
- Forum: Jukwaa la Ajira na Tenda