TANZIA Msiba mkubwa MSD na member wa JF: Erick Betram Mapunda afariki dunia

Dah; poleni ndugu, jamaa, na marafiki. Marehemu apumzike kwa amani.
 
... ili iweje? Itoshe kueleweka alikuwa member wa jf.
Nadhani mtoa mada angeleta taarifa kuwa member wa JF anaetumia ID flani kafariki maana hiyo ndio ingekuwa na maana kwa members wa JF.

Kama ni ID kubwa hiyo ni mbaya zaidi maana mtu unatoa RIP kwa stranger tofauti angejua anazitoa kwa nani kama tu ilivyofanyika kwa warumi maana inaleta mguso anaostahili.

Yote kwa yote sisi sote ni binadamu kwa hiyo apumzike kwa amani
 
Mngetaja na 🆔 yake ingekuwa sahihi zaidi




Anyway apumzike anapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…