TANZIA Msiba mkubwa MSD na member wa JF: Erick Betram Mapunda afariki dunia

TANZIA Msiba mkubwa MSD na member wa JF: Erick Betram Mapunda afariki dunia

Kwa ukongwe wangu kulikuwa na aina tatu za kupashana khabari kama member amefariki.
1. Kutaja ID peke yake.
2. Kutaja jina peke yake
3. Kutaja jina na ID
Hizo mbili za juu ndizo zilitumika zaidi tangu asili ya JF na member tulikuwa tunazipokea tuu
Pumzika kwa Amani Afisa Utumishi Kyela wa Zamani
 
Uamuzi wa JF member kufahamika hapa jukwaani kwa ID sanjari na jina lake halisi ni wa kwake mwenyewe. Kama ameondoka bila kufanya hivyo, hakuna mtu mwingine mwenye haki ya kufanya hivyo kwa niaba yake!
Sasa amewatuma mtangaze msiba humu. JF is just a very big fraternity, huyo ni mwenzetu LA sivyo mnaturingishia kwamba kafa. Vinginevyo hamna haja yoyote ya kumficha mwenzetu humu akishatangulia mbele za haki.
 
Sasa amewatuma mtangaze msiba humu. JF is just a very big fraternity,huyo ni mwenzetu LA sivyo mnaturingishia kwamba kafa. Vinginevyo hamna haja yoyote ya kumficha mwenzetu humu akishatangulia mbele za haki.

Mleta taarifa hakupaswa kuleta hapa picha yake na jina lake halisi. ID yake ya JF inatutosha sisi.
 
Mwenye hii I'd mbona last activity ni leo [emoji28]
Wakati ni MAREHEMU tayari
 
Back
Top Bottom