inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Waliokufa wamekosa hiyo fursaHii kauli haina ukweli wowote kwa sisi tuliomwamini Kristo Yesu Bwana ambaye atakuja kutunyakua muda wowote na kukaa naye milele. Maana yake ni kwamba Yesu akija sasa hivi kitakachofanyika ni mwili wangu kubadilika kufumba na kufumbua na kuvaa mwili wa utukufu kisha kumlaki Bwana mawinguni. 1WAKORINTHO 15:52,. 1 WATHESALONIKE 4:13-17. sasa hayo mauti nitakuwa nimeyaonja wapi sasa.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI