TANZIA Msiba mkubwa MSD na member wa JF: Erick Betram Mapunda afariki dunia

TANZIA Msiba mkubwa MSD na member wa JF: Erick Betram Mapunda afariki dunia

Kuna Msiba mkubwa umetokea MSD na mwenzetu alikuwa JF member wa miaka mingi.

Poleni sana sana JF , familia na ma rafiki kwa Msiba mkubwa uliopo kwa..View attachment 2261033
RIP Mwanajamii....

Sasa na hawa MSD kuweka matangazo ya Sensa Msibani kwenye hii picha walijisahau au walikuwa na muda wa kutosha kwamba ya Kuhamasisha Sensa....
 
Kila nafsi itaonja mauti. Apumzike kwa amani
Hii kauli haina ukweli wowote kwa sisi tuliomwamini Kristo Yesu Bwana ambaye atakuja kutunyakua muda wowote na kukaa naye milele. Maana yake ni kwamba Yesu akija sasa hivi kitakachofanyika ni mwili wangu kubadilika kufumba na kufumbua na kuvaa mwili wa utukufu kisha kumlaki Bwana mawinguni. 1WAKORINTHO 15:52,. 1 WATHESALONIKE 4:13-17. sasa hayo mauti nitakuwa nimeyaonja wapi sasa.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Hivi ndie aliyeleta recommendations za Madaktari na Pharmacists kuhusu utoaji wa dawa? najua mmesema tusiulize, ila ni nature ya mwanadamu kuuliza...
Unataka kutuambia wamemhujumu baada ya kutoa hizo recommendations, au ...

Jesus is Savior
 
Kuna Msiba mkubwa umetokea MSD na mwenzetu alikuwa JF member wa miaka mingi.

Poleni sana sana JF , familia na ma rafiki kwa Msiba mkubwa uliopo kwa..View attachment 2261033
giphy.gif
 
Back
Top Bottom