mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Umeshazingua tayari...unaleta taarifa za msiba huku unaturingishia. Hata angekuwa marehemu mwenyewe angejitaja. So absurd!!!?... ili iweje? Itoshe kueleweka alikuwa member wa jf.
Sidhani kama ni vyema....hataki aache kiherehere cha kutangaza misiba ya members humu. Kwa kawaida JF msiba hutangazwa kwa ID sio jina halisi......je kama ni mshana Jr kafa au gentamycine?Umejibu vyema sana . Rest In Peace Our JF member. Always in our heart [emoji3531]
Sasa amewatuma mtangaze msiba humu. JF is just a very big fraternity, huyo ni mwenzetu LA sivyo mnaturingishia kwamba kafa. Vinginevyo hamna haja yoyote ya kumficha mwenzetu humu akishatangulia mbele za haki.Uamuzi wa JF member kufahamika hapa jukwaani kwa ID sanjari na jina lake halisi ni wa kwake mwenyewe. Kama ameondoka bila kufanya hivyo, hakuna mtu mwingine mwenye haki ya kufanya hivyo kwa niaba yake!
Sidhani kama ni vyema....hataki aache kiherehere cha kutangaza misiba ya members humu. Kwa kawaida JF msiba hutangazwa kwa ID sio jina halisi......je kama ni mshana Jr kafa au gentamycine?
Sasa amewatuma mtangaze msiba humu. JF is just a very big fraternity,huyo ni mwenzetu LA sivyo mnaturingishia kwamba kafa. Vinginevyo hamna haja yoyote ya kumficha mwenzetu humu akishatangulia mbele za haki.
Hii kama vile ina kuja kuja.Mleta taarifa hakupaswa kuleta hapa picha yake na jina lake halisi. ID yake ya JF inatutosha sisi.
Sasa kuna mtu aliwatuma kuleta hiyo habari ya msiba humu?? Watu mnajikuta serious hata kwenye vitu visivyo na maana, kwamba kuna mtu atafaidika na marehemu au?... ili iweje? Itoshe kueleweka alikuwa member wa jf.
RIP Pno Hasegawa!Kuna Msiba mkubwa umetokea MSD na mwenzetu alikuwa Jf member wa miaka mingi.
Poleni sana sana Jf , familia na ma rafiki kwa Msiba mkubwa uliopo kwa..View attachment 2261033
Huyo siyo kwamba alikuwa Prof KobokoHivi ndie aliyeleta recommendations za Madaktari na Pharmacists kuhusu utoaji wa dawa? najua mmesema tusiulize, ila ni nature ya mwanadamu kuuliza...
Kila nafsi itaonja mauti. Apumzike kwa amani
Lete uzi wake hata mmoja hapa
Mwenye hii I'd mbona last activity ni leo [emoji28]MSD inalipa mshahara kwa mfanyakazi hewa (Laurean Bwanakunu)
Mnamo 3/ 5/ 20 RAIS John Magufuli alitengua uteuzi wa Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa Bwanakunu, na badala yake kumteua Brig. Jen Dkt. Gabriel Sauli Mhidize kuchukua nafasi hiyo. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Lugalo. LAKINI MSD bado inamlipa mshahara Bwanakunu...www.jamiiforums.com
Tena 54 mins ago😂Mwenye hii I'd mbona last activity ni leo [emoji28]
Wakati ni MAREHEMU tayari
kwa kuwa amepunguza nambaTangazo la sensa tena hadi kwenye bango la msiba