Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yatupasa kukumbuka kwamba si sote niwa mwenyezi mungu na malejesho yetu ni huko so tujipange
kama si sote niwa mwenyezi mungu,wengine ni wa nani?
Mola aepushe maana kwenye ajali ya Mv Skagit kule Z'bar mwezi Julai mwaka huu (2012) waliondoka kumi naa......kesho kama sio MUM sijui..
Keshokutwa je? Jordan au MOTCO?jana usiku ilikuwa wanafunzi wa mzumbe leo asubuhi sua kesho kama sio MUM sijui..
Kama katoka disco usikute kawekewa sumu ngoja postmortem
Keshokutwa je? Jordan au MOTCO?