Msiba wa George Kahama wamkumbusha Mhariri wa Raia Mwema, Abdulwahid Sykes

Sawa
Nimekuelewa mzee
Basi na omba utu letee hilo timbwili la 1958, au kama ulosha andika hapa naomba
Unijuze uzi uli uitaje ili ni some pia
Iceman,
Historia ya TANU ina mambo kaka.

Ushauri wangu kwako ni wewe kusoma kitabu cha Abdul Sykes
kipo cha Kiingereza (London 1998) na cha Kiswahili (Nairobi 2002).

Nikisema nikuwekea hapa link nitakuwekea ngapi?
 
Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi

Msome na mfatilie vizuri huyo mzee mbona utamwelewa tu
 
Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi

Mimi huwa najiuliza sana, ingekuwaje kama nchi hii tungepigania uhuru kwa mtutu wa Bunduki?, nchi ilishapewa uhuru tangu mwisho wa vita ya Kwanza ya Dunia, alikuwa anatafutwa mtu wa kupewa hii nchi kuiangalia mpaka tutapokuwa tayari kupewa uhuru kamili, Wamarekani wakakataa ndio Mwingereza akapewa kuiangalia tu

Siku zilipotimia watu wakaenda UNO kupeleka ombi la kupewa uhuru kuwa sasa tuko tayari, sipati picha kwa huyo mzee Mohamed Said Sijui ingekuwaje Kama watu wake wa Gerezani wangemwaga damu kama ilivyotokea Kenya, Namibia, Zimbabwe, RSA
Yaani anaandika as if watu walimwaga damu
 
Hilo hawezi fanya kaka, huyo sio wa Deen yake, we mgeni na huyo mzee?, anaweza kukuandikia wasifu wa say Bonke Munaka lakini ukisoma ndani huwezi kuona chochote cha maana zaidi ha story za Sykes mwanzo mwisho, mpaka unajiuliza hiyo ndio wasifu wa Bonke?, aliandika wa Kyaruzi ulikuwa ni aibu tu

Weka ushahidi kama u mkweli.
 
Weka ushahidi kama u mkweli.
Sina hila wala uongo maishani mwangu, na siwezi msingizia mtu chochote, ndivyo nilivyolelewa, sina haja sana ya kukulazimisha, kama huamini ni sawa tu
 
Mimi huwa najiuliza sana, ingekuwaje kama nchi hii tungepigania uhuru kwa mtutu wa Bunduki?, nchi ilishapewa uhuru tangu mwisho wa vita ya Kwanza ya Dunia, alikuwa anatafutwa mtu wa kupewa hii nchi kuiangalia mpaka tutapokuwa tayari kupewa uhuru kamili, Wamarekani wakakataa ndio Mwingereza akapewa kuiangalia tu

Siku zilipotimia watu wakaenda UNO kupeleka ombi la kupewa uhuru kuwa sasa tuko tayari, sipati picha kwa huyo mzee Mohamed Said Sijui ingekuwaje Kama watu wake wa Gerezani wangemwaga damu kama ilivyotokea Kenya, Namibia, Zimbabwe, RSA
Yaani anaandika as if watu walimwaga damu

Weka basi maandiko yake mbona unapiga porojo zako tu?

Hawakuweza ku assassinate character yake 1988 walipo nunuwa magazeti yote wakayachoma moto, utaweza leo. Au utaenda kufuta library ya congress?
 
Hahaha
Lakin maana ya uhuru pia, ni tumpe chance na yeye aendelee kuwa andika watu anao hisi wame sahaulika .
Ila ukienda hata Kenya hapo kaangalia Familia za wazee walio pigana vita ya MAUMAU kina General China na Dedan Kimathi, yaan wana life gumu hatarii, ila kina Kenyatta haoo wana slide tu, sasa kina Kimathi walinyongwa kabsa kwa ajili ya Kenya . Lakin ndio hivo hawajulikani na descendants wao wame chill tu.
Historia pia huwa ina tabia ya ki select wanao fight kwenda mbele zaid ina wakumbuka zaid.
 
Na wewe unanunua uongo huo?
 
Hizo ndio fact na hukumu za historia
 
Sina hila wala uongo maishani mwangu, na siwezi msingizia mtu chochote, ndivyo nilivyolelewa, sina haja sana ya kukulazimisha, kama huamini ni sawa tu

Kwanini utupe porojo zako na usi "cite" hayo maandiko ya Mohamed Said kama u mkweli?
 
Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi
Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi
Iceman,
Kweli kuna wazalendo mimi nawajua zaidi kuliko wengine
na kwa sababu maalum.

Babu yangu Salum Abdallah na Kleist Sykes walikuwa
marafiki na wake zao Bi. Mluguru biti Mussa na bibi yangu
Zena biti Farjallah walikuwa mashoga.

Abdul Sykes na baba yangu wamecheza pamoja utotoni hapo
Mtaa wa Kipata na wakasoma shule darasa moja Al Jamiatul
Islamiyya Muslim School nk.nk.

Baba yangu hakumuona Nyerere kwenye jukwaa la TANU Mnazi
Mmoja anauhutubia 1954.

Baba yangu kaonana na Nyerere nyumbani kwa Abdul Sykes
Mtaa wa Stanley 1952.

Watafuteni hao mnaodhani wanaweza wakawa na habari zaidi
yangu.

Wasome Kleist Sykes na Salum Abdallah hapo chini:
KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK
KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
 
Yatafute tu, mbona yapo, nenda kwenye website yake utayaona
Kituko,
Kuna kijana Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikuwa anaandika
"Dissertation" yake kuhusu historia ya Tanganyika.

Alisafiri hadi Tanga kuja kunihoji.

Huyu kijana akanambia kuwa walimu wake wamemtahadharisha
asikitumie kitabu changu katika rejea zake.

Nikamwambia ikiwa walimu wako wamekupa indhari kwa nini
hukuwasikia bado umekuja kwangu?

Akanambia kuwa kaja kwangu kwa kuwa anataka kuijua historia
ya kweli.

Miaka ikapita sasa kijana ni Ph D na ni mwalimu wa historia katika
moja ya vyuo vyetu.

Akanambia kuwa huwa anasomesha historia mbili ile rasmi na hii
yangu.

Akaongeza kuwa anaposomesha hii yangu wanafunzi wanachamgamka
sana.
 
Yani Mzee unavoshupalia coincidence ya Uislam kuweko kwenye historia ya Tanganyika ni sawa na Urusi kujisifia kua wao ni walevi wazuri.

Sasa harakati zimefanyika mostly Pwani unategemea waislam wasiwemo?Hiyo ni kawaida sana.Waislam wao kila kuchwa ni kulia dhulma tu!..

Kwa mfano hizo harakati zingefanyikia Tukuyu halafu wanyakyusa waanze kujisifia.Coincidence tu!
 
Mimi huwa najiuliza sana, ingekuwaje kama nchi hii tungepigania uhuru kwa mtutu wa Bunduki?, nchi ilishapewa uhuru tangu mwisho wa vita ya Kwanza ya Dunia, alikuwa anatafutwa mtu wa kupewa hii nchi kuiangalia mpaka tutapokuwa tayari kupewa uhuru kamili, Wamarekani wakakataa ndio Mwingereza akapewa kuiangalia tu

Siku zilipotimia watu wakaenda UNO kupeleka ombi la kupewa uhuru kuwa sasa tuko tayari, sipati picha kwa huyo mzee Mohamed Said Sijui ingekuwaje Kama watu wake wa Gerezani wangemwaga damu kama ilivyotokea Kenya, Namibia, Zimbabwe, RSA
Yaani anaandika as if watu walimwaga damu
Kituko,
Hilo la kuwa Tanganyika ilipewa uhuru baada ya WWII ndiyo
leo nalisikia kwako.

Nimesoma kila kitabu kilichoandikwa kuhusu ukoloni Tanganyika.

Zaidi nimesoma hadi shajara za Kleist Sykes na nyaraka za
watoto wake sijakuta popote hilo limeandikwa.

Nimemsoma Martin Kayamba, ''The Autobiography of
Martin Kayamba...'' hakuna kitu kama hicho.

Nimewasoma Erika Fiah mhariri wa Kwetu na Ramadhani
Mashado Plantan
mahriri wa Zuhra hakuna kitu kama hicho...
 
Back
Top Bottom