Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #41
Iceman,Sawa
Nimekuelewa mzee
Basi na omba utu letee hilo timbwili la 1958, au kama ulosha andika hapa naomba
Unijuze uzi uli uitaje ili ni some pia
Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi
Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi
Hilo hawezi fanya kaka, huyo sio wa Deen yake, we mgeni na huyo mzee?, anaweza kukuandikia wasifu wa say Bonke Munaka lakini ukisoma ndani huwezi kuona chochote cha maana zaidi ha story za Sykes mwanzo mwisho, mpaka unajiuliza hiyo ndio wasifu wa Bonke?, aliandika wa Kyaruzi ulikuwa ni aibu tu
Sina hila wala uongo maishani mwangu, na siwezi msingizia mtu chochote, ndivyo nilivyolelewa, sina haja sana ya kukulazimisha, kama huamini ni sawa tuWeka ushahidi kama u mkweli.
Mimi huwa najiuliza sana, ingekuwaje kama nchi hii tungepigania uhuru kwa mtutu wa Bunduki?, nchi ilishapewa uhuru tangu mwisho wa vita ya Kwanza ya Dunia, alikuwa anatafutwa mtu wa kupewa hii nchi kuiangalia mpaka tutapokuwa tayari kupewa uhuru kamili, Wamarekani wakakataa ndio Mwingereza akapewa kuiangalia tu
Siku zilipotimia watu wakaenda UNO kupeleka ombi la kupewa uhuru kuwa sasa tuko tayari, sipati picha kwa huyo mzee Mohamed Said Sijui ingekuwaje Kama watu wake wa Gerezani wangemwaga damu kama ilivyotokea Kenya, Namibia, Zimbabwe, RSA
Yaani anaandika as if watu walimwaga damu
HahahaMimi huwa najiuliza sana, ingekuwaje kama nchi hii tungepigania uhuru kwa mtutu wa Bunduki?, nchi ilishapewa uhuru tangu mwisho wa vita ya Kwanza ya Dunia, alikuwa anatafutwa mtu wa kupewa hii nchi kuiangalia mpaka tutapokuwa tayari kupewa uhuru kamili, Wamarekani wakakataa ndio Mwingereza akapewa kuiangalia tu
Siku zilipotimia watu wakaenda UNO kupeleka ombi la kupewa uhuru kuwa sasa tuko tayari, sipati picha kwa huyo mzee Mohamed Said Sijui ingekuwaje Kama watu wake wa Gerezani wangemwaga damu kama ilivyotokea Kenya, Namibia, Zimbabwe, RSA
Yaani anaandika as if watu walimwaga damu
Weka basi maandiko yake mbona unapiga porojo zako tu?
Hawakuweza ku assassinate character yake 1988 walipo nunuwa magazeti yote wakayachoma moto, utaweza leo. Au utaenda kufuta library ya congress?
Hahaha
Lakin maana ya uhuru pia, ni tumpe chance na yeye aendelee kuwa andika watu anao hisi wame sahaulika .
Ila ukienda hata Kenya hapo kaangalia Familia za wazee walio pigana vita ya MAUMAU kina General China na Dedan Kimathi, yaan wana life gumu hatarii, ila kina Kenyatta haoo wana slide tu, sasa kina Kimathi walinyongwa kabsa kwa ajili ya Kenya . Lakin ndio hivo hawajulikani na descendants wao wame chill tu.
Historia pia huwa ina tabia ya ki select wanao fight kwenda mbele zaid ina wakumbuka zaid.
Sina hila wala uongo maishani mwangu, na siwezi msingizia mtu chochote, ndivyo nilivyolelewa, sina haja sana ya kukulazimisha, kama huamini ni sawa tu
Kwanini utupe porojo zako na usi "cite" hayo maandiko ya Mohamed Said kama u mkweli?
Na wewe unanunua uongo huo?
Yatafute tu, mbona yapo, nenda kwenye website yake utayaona
Wewe urushe shutuma, ushahidi niutafute mimi?
Ndivyo ulivyofundishwa na Walimu wako?
Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi
Iceman,Nadhani mzee yeye kuna watu ambao kwao amebobea historia yao kuliko wengine.
May be pia tuna hitaji kumsoma yeye halafu tuchek na watu wa upande mwingine wana dhan ipi
Kituko,Yatafute tu, mbona yapo, nenda kwenye website yake utayaona
Watafuteni hao mnaodhani wanaweza wakawa na habari zaidi
yangu.
Wasome Kleist Sykes na Salum Abdallah hapo chini:
KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK
KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
Kituko,Mimi huwa najiuliza sana, ingekuwaje kama nchi hii tungepigania uhuru kwa mtutu wa Bunduki?, nchi ilishapewa uhuru tangu mwisho wa vita ya Kwanza ya Dunia, alikuwa anatafutwa mtu wa kupewa hii nchi kuiangalia mpaka tutapokuwa tayari kupewa uhuru kamili, Wamarekani wakakataa ndio Mwingereza akapewa kuiangalia tu
Siku zilipotimia watu wakaenda UNO kupeleka ombi la kupewa uhuru kuwa sasa tuko tayari, sipati picha kwa huyo mzee Mohamed Said Sijui ingekuwaje Kama watu wake wa Gerezani wangemwaga damu kama ilivyotokea Kenya, Namibia, Zimbabwe, RSA
Yaani anaandika as if watu walimwaga damu
Iceman,Nashukuru
Ntafuatilia makala zako na za wana historia wengine pia na ndio elim ilivo pia.
Nimekuelewa