Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

Noma sana
 
si kweli,
Edward Lowasa amemaliza kazi yake humu duniani, nasi kwa wakati ufaao wa Mungu tutarejea kwake pia....

Mengine ni stori na porojo za wenye imani haba kwenye maombolezo...
kuzungumza na kuzungumzia watu tu.....
 
Pumba..so ulitaka Lowasa aamke ndo amtaje kikwete?,he is no more but familia ilipaswa kutambua kama ilivyowatambua wengine...mzee alizingua alikiuka makubaliano acha kujambajamba kwenye mapovu bro.
 
M
Mnaongea vitu ambavyo hamjui kweli nimeamini jamii forum ni forum ya walala ho,wanafiki,wazandiki na wajinga hauwezi ona mtu anauejielewa akitumia huu mtandao wa kipuuuzi! I' m off mbakie wapuuzi wenyewe
Sawa MPUUZI MWENZETU...naona kisu kimegonga mfupa [emoji23]
 
Huu anakwenda nao Kaburini kaka niamini...ukimkosea mtu afu akatangulia mbele za haki ni hatari sana,!ajuto yake ni makubwa na maumivu yake hayabebeki.
Huko kaburini ni safari ya kila mtu ni suala la muda tu na ukizingatia tayari yeye ni mtu mzima yupo kwenye 70s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…