Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Atakayekuwa anapasuka shimoni siyo yeye. Yeye halisi ni legacy aliyoiacha, msijisahaurishe mkajidanganya kuwa ameondoka. Pambaneni na legacy yakebaada ya siku 3 ana Pasuka shimoni
Hao wote next year tutawapitisha hapo hapo,wengi wagonjwaLeo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.
Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Kwa nini??Alikua mwema sana sana
Japo pichaLeo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.