Msiba wa Mafuru wa leo Karimjee sijaona mnyonge

Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.

Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Hapo ndopenyewe mkuu
Ilibid usogelee koneksheni yako kuringana na kaliba yako.
 
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.

Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Kwani Steve nyerere hakuepo?
 
Usijali ATAFUFUKA KESHO KWA HILO MKUU!
 
Humu ndio wamezikwa wale washenzi waliotwa dunia na kutufanya watumwa na kuedeleza ukoloni duniani...

1731621928789.png
 
Jambo zuri zaidi,
Ndani ya siku 3 kila mtu atakusahau na atakua bize na mishe zake.
wengine wataanza kwenda mara kwa mara kumpa pole mjane huku wakiangalia namna ya kujiweka.
Uzuri wa kifo hakichagui cheo,jinsia, kabila, dini, rangi, uwezo, umaarufu, uzuri.nk

hakuna baunsa wa kifo hata wale watekaji na watesi ikifika siku unakwenda.
Nawaonea huruma watoto. Bado wadogo sana.
 
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.

Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Nani amekuruhusu kutumia neno Hayati? Mafuru ni marehemu tu kama tutakavyokuwa sisi hana sifa ya kupewa uhayati!
 
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.

Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
ni mtu wa high profile bro
 
Back
Top Bottom