Msiba wa Mafuru wa leo Karimjee sijaona mnyonge

Msiba wa Mafuru wa leo Karimjee sijaona mnyonge

Ukisikia mtu anazikwa na watu wake ndio hivyo. Hata atakayeongoza ibada ya mazishi naye atakuwa mtu mzito wa kariba yake. Malizia na hilo kaburi lake nalo litakuwa si la mavumbi/udongo, ni la marumaru ndani mpaka nje. Kapuku naye huzikwa na makapuku wenzake na kaburi lake nalo ni la kikapukukapuku
Hivi mwinyi aliegusa udongo mwanzo mwisho nae alikuwa kapuku et
 
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.

Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Hakika alikuwa mtu wa watu.
 
CEO wa Kempinski ipi ndugu?
Maana hakuna Kempinski Tz bara na visiwani.
 
Nampa sifa zake Marehemu Mafuru. He was a man and a half. Personally, sikuwahi kujuana wala kuwa karibu naye.
Ila ujasiri wa kuwakutanisha wanasiasa wote wale. Wafanyabiashara. Wasabato wenzake. Na watunza fedha kwenye mabanki na kada nyingine nyeti, sio kitu kidogo hata siku moja. Na sio kitu rahisi kama tunavyodhani. The man had something special.

In my thinking, that something special is to be the banker of his caliber. Standard Chartered to NBC and later working for the government. Is it not interesting? Kuna button alibonyeza ikatema dhahabu 😂 😂 😂 😂 😂

This keeps reminding me about the severity of death. Death has robbed one of our dearest sons, with the ever-perpetual dreams of continuing to evolve.

It also reminds me the necessity of ensuring at the core of my existence, I should treasure education and knowledge. I should treasure being a man of deeds and not empty words. It is dictating to me about the fact that constantly and consistently I must recharge my intellectual batteries. That is the only thing that will make it possible to assemble people of different backgrounds and make them cry in front of my coffin. Ingawa wengine walikuwa wanaonyesha matoleo ya suti mpya duniani

Rest well, Mr. Mafuru
Treasure education?

Mkuu unafanya exaggeration ya kufa mtu.

Jamaa alimaliza IFM,diploma,thats it,hakuna kingine zaidi na mitihani ya bodi

It means,hakua na akili za darasani kiivyo,ni acadmically average sana

Kuhusu NBC,jamaa alijipaisha sana kwa jamaa wa ABSA wa SA wakaingia mkenge wakampa NBC awe CEO,sema uwezo wake ni mdogo,ikamshinda akafukuzwa

Jamaa bla bla anaziweza na kujipozisheni ndio maana serikalini alikua anapata position sababu ya piga domo.

Kampuni binafsi hawataki ngenga, NBC ilimshinda,hakupewa kampuni ingine yeyote,benki yeyote,voda,airtel,etc...walimjua maneno mengi uwezo mdogo..alikua anajua kukuza persona yake ila in reality jamaa IQ sio kiivyo

Tofauti kabisa na Mchechu
 
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.

Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Aiseeee!!
 
Back
Top Bottom