goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Hivi mwinyi aliegusa udongo mwanzo mwisho nae alikuwa kapuku etUkisikia mtu anazikwa na watu wake ndio hivyo. Hata atakayeongoza ibada ya mazishi naye atakuwa mtu mzito wa kariba yake. Malizia na hilo kaburi lake nalo litakuwa si la mavumbi/udongo, ni la marumaru ndani mpaka nje. Kapuku naye huzikwa na makapuku wenzake na kaburi lake nalo ni la kikapukukapuku
SahihiHakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
waislam hawarembi makaburi unafukiwa na sanda tu bila sanduku. Kaburi halipigwi hata zegeHivi mwinyi aliegusa udongo mwanzo mwisho nae alikuwa kapuku et
Sijasema ni haram, nimekemea upotoshaji maana familia imetoa taarifa kwamba amefariki kwa kansa ya damu.Kwani kufa kwa UKIMWI ni haramu? Zote ni njia zetu wote!
Hao usikute ni wale ndugu wa mbali au wale wanaojuana na mke wa marehemu mafuru, kila wiki simu za shida πβ¦ sasa huenda hali itakuwa ngumuNa hao ulio wataja wote watakufa na watazikwa na hao wanyonge!View attachment 3152359
Akose?! π³Hivi baba rizi mbona kama hajaonekana
Utakuwa Chawa mbeba mikoba ya MAFOGO.Mbona na mimi nimo.
Ngongo Karimjee.
Nimekosa sanaNani amekuruhusu kutumia neno Hayati? Mafuru ni marehemu tu kama tutakavyokuwa sisi hana sifa ya kupewa uhayati!
Hakika alikuwa mtu wa watu.Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.
Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Na ndio tafsiri halisi ya kuyarudia mavumbiwaislam hawarembi makaburi unafukiwa na sanda tu bila sanduku. Kaburi halipigwi hata zege
Hebu Waulize wsnao au mkeo kama wanamfahamu?Atakayekuwa anapasuka shimoni siyo yeye. Yeye halisi ni legacy aliyoiacha, msijisahaurishe mkajidanganya kuwa ameondoka. Pambaneni na legacy yake
unaweza kuta wakati wanapitishwa wewe mzm usha pasuka siku nyingi shimoniHao wote next year tutawapitisha hapo hapo,wengi wagonjwa
CEO wa Kempinski ipi ndugu?Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.
Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!
Treasure education?Nampa sifa zake Marehemu Mafuru. He was a man and a half. Personally, sikuwahi kujuana wala kuwa karibu naye.
Ila ujasiri wa kuwakutanisha wanasiasa wote wale. Wafanyabiashara. Wasabato wenzake. Na watunza fedha kwenye mabanki na kada nyingine nyeti, sio kitu kidogo hata siku moja. Na sio kitu rahisi kama tunavyodhani. The man had something special.
In my thinking, that something special is to be the banker of his caliber. Standard Chartered to NBC and later working for the government. Is it not interesting? Kuna button alibonyeza ikatema dhahabu π π π π π
This keeps reminding me about the severity of death. Death has robbed one of our dearest sons, with the ever-perpetual dreams of continuing to evolve.
It also reminds me the necessity of ensuring at the core of my existence, I should treasure education and knowledge. I should treasure being a man of deeds and not empty words. It is dictating to me about the fact that constantly and consistently I must recharge my intellectual batteries. That is the only thing that will make it possible to assemble people of different backgrounds and make them cry in front of my coffin. Ingawa wengine walikuwa wanaonyesha matoleo ya suti mpya duniani
Rest well, Mr. Mafuru
DahππππHao wote next year tutawapitisha hapo hapo,wengi wagonjwa
Aiseeee!!Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo kuna Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, mara unamuona Jenerali Nkunda, kwa mbali unamuona CEO wa Kempinski na wengineo wa kariba hiyo.
Hakika kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake!