I hosted two standard eight pupils, Esther Mwikali and Pauline Keziah, from Komaranch Primary School at State House, Nairobi. I met them after launching the 'Last Mile Connectivity Project' in Katulu and invited them to visit State House.
Sasa hiyo ofisi ya rais mbona imekaa kama ofisi za saccos
Dah!! hiyo kali, itamsisimua sana kimaisha. Huyu hapa.
Wakenya sura zenyu zimekomaa cheki huyo binti anaedaiwa kuwa std 8 utafkir bibi ya miaka 35!!!!?!!
mbona vitasa vipo? na hizo ni sanamu za marais waliomtanguia. hatakubali sanamu ya nbaba yake kuwa kitasaipo complicated so kwa macho ya kawaida unaweza kuiona kama ofizi za saccos ila ukweli ukiambiwa moja ya hizo sanamu ni kitasa cha mlango wa kuingilia ofisi pacha na hiyo usishangae....
ipo complicated so kwa macho ya kawaida unaweza kuiona kama ofizi za saccos ila ukweli ukiambiwa moja ya hizo sanamu ni kitasa cha mlango wa kuingilia ofisi pacha na hiyo usishangae....
Interior decorator wa State House arudi nyumbani niitwe mimi.
Dsh.
Sasa hiyo ofisi ya rais mbona imekaa kama ofisi za saccos