Msichana Aliyelia Kwa Kumwona Uhuru, aalikwa Statehouse

Msichana Aliyelia Kwa Kumwona Uhuru, aalikwa Statehouse

Hhahahaaa Aiseee mbona wanafanana hivyo? angalia hayo macho yao na nyuso zao, isije ikawa ni tunda la ndoa ya nje
Dah!! hiyo kali, itamsisimua sana kimaisha. Huyu hapa.

11214123_10207543256607928_3772363716264122243_n.jpg
 
mbona vitasa vipo? na hizo ni sanamu za marais waliomtanguia. hatakubali sanamu ya nbaba yake kuwa kitasa
mm naona kuna ash-tray pembeni ya bendera ni ya nini

11390224_1073993089295910_8970979990890801947_n.jpg
Hata marais wa USA wanafanya hivi mara kwa mara. Kwa tanzania kuna uchawi sana hawatjubutu kufanya hivi. JK kwanza anatembea na kiti chake
 
Sasa hiyo ofisi ya rais mbona imekaa kama ofisi za saccos

Ndio maana nchi za wenzetu zina maendeleo wanatumia rasilimali na fedha zao kwa maendeleo ya nchi zao.Ikulu ya Tanzania ni half paradise lakini angalia makazi na maisha ya watanzania yako ICU shida tupu
 
Hhahahaaa Aiseee mbona wanafanana hivyo? angalia hayo macho yao na nyuso zao, isije ikawa ni tunda la ndoa ya nje

Ndugu zangu watanzania mnakuwa very superficial, that is one thing I have always observed about some of you folks, mnapenda ku judge mtu from how he looks not what he has between his ears, badilisheni hii tabia aise.
 
Katika maraisi wa Bara zima la Africa namhusudu sana Kibaki kwani anaongoza kama kiongozi na sio mtawala.... Ikulu yetu wanaenda kuuza sura wasanii na Maex wa maprezidaa tuuuuu. Wengine tutapambana na wajeshi pale nje. Kwanza kwenye picha wakati binti analia angalia walinzi wa raisi wanavyojua wajibu wa kumwacha Rais huru hapa kwetu ungesikia kuna mabinti wako korokoroni kwa kuingilia msafara wa Rais..... Tuna mambo mengi ya kujifunza kenya tangu katiba, demokrasia, utawala bora na ulinzi na usalama kwa viongozi
 
President Uhuru is one of the African Presidents who are doing well. I don't have the source but I heard somewhere he has now outsmarted President Kagame of Rwanda. JK yeye yupo yupo tu kazi kulewa sifa za kijinga...Rais wa kwanza wa bara la Afrika kusalimiana na Obama...so what..??
 
mbona vitasa vipo? na hizo ni sanamu za marais waliomtanguia. hatakubali sanamu ya nbaba yake kuwa kitasa
mm naona kuna ash-tray pembeni ya bendera ni ya nini

11390224_1073993089295910_8970979990890801947_n.jpg

hahaha thats y you need an xtra eye to see that...

its all about intelligence
they can do anything to blind people and put things undercover.
 
President Uhuru is one of the African Presidents who are doing well. I don't have the source but I heard somewhere he has now outsmarted President Kagame of Rwanda. JK yeye yupo yupo tu kazi kulewa sifa za kijinga...Rais wa kwanza wa bara la Afrika kusalimiana na Obama...so what..??

JK kachaguliwa kuwa mwenyekiti wa majanga duniani..na mambo ya uzazi wa mpango
 
Karibia mtasikia MK254 Katangaza kumuoa binti huyo
 
Last edited by a moderator:
Hata marais wa USA wanafanya hivi mara kwa mara. Kwa tanzania kuna uchawi sana hawatjubutu kufanya hivi. JK kwanza anatembea na kiti chake

Nimependa our leaders shul nt be worshipped H.E Uhuru is a true son of Africa nobody l repeat nobody cn dispute this.l salute u Mr president.
 
Back
Top Bottom