Msichana Aliyelia Kwa Kumwona Uhuru, aalikwa Statehouse

Msichana Aliyelia Kwa Kumwona Uhuru, aalikwa Statehouse

Highly inspirational.

Dada seems upo in catch-22-situation threads zakutangaza nia CCM umezikimbia for gud?? U had tough challenge kwenye thread ya Makongoro. Hav a rest here kweri.
 
Dada seems upo in catch-22-situation threads zakutangaza nia CCM umezikimbia for gud?? U had tough challenge kwenye thread ya Makongoro. Hav a rest here kweri.

Hizo unazosema challenge zote zilikuwa zinatoka kwa wapinzani wa CCM, hicho ndiyo cha kushangaza.
 
Uhuru yuko simple sana, nakumbuka pale walipokaa chini ya mti wakigonga msosi walipokuwa wanatoka arusha, safi sana Uhuru.
 
Hizo unazosema challenge zote zilikuwa zinatoka kwa wapinzani wa CCM, hicho ndiyo cha kushangaza.

But 1 thing sister l appreciate u when recognise things are out of hand u easily pull off & move on au wewe ni Citizen journo ??? nta Ku PM for kkkkkkk
 
Mkuu mi huwa nikimuona katika ubora wake nafarijika sana! Ajabu mie ni mtz ila nampenda UK kuliko JK

Same here aisee. Jamaa kanikalia kama Putin hivi. Maana nae namfagilia kuliko Obam.
 
Mnamkumbuka yule msichana aliyelia kwasababu alimwona Rais kwa macho. Hivi leo kaalikwa kwenye Ikulu na kuketi kwenye kiti cha Rais.


11390224_1073993089295910_8970979990890801947_n.jpg

Kenyatta anafanya PR kubwa sana hivyo hataki kukosa fursa yoyote ya kumpa headline
 
Uhuru safi sana, anawaalika na anampisha kwenye kiti chake, loooh,
Tanzania ungekamatwa na kuwekwa ndani.
 
Ana roho safi uhuru, yaani huyu msichana na hana kura na bado uhuru anapata muda wake,
 
Huyo mtoto angealikwa na J.K ungeshuhudia watu watakavyochafua hali ya hewa humu

JK alimzika sijui msanii gani watu povu likawatoka,,, JK kaokoa maisha ya Ray C na hata sasa Ray C anaokoa maisha ya vijana wenzake mateja lakini bado wenye husda walikipinga sana kitendo hiki ila kwa roho zao za kishamba za kupenda nyumba ya jirani na kuchukia home ... leo wanamsifia Kenyatta kwa kumpisha kiti binti akalie... imagine JK angempisha binti kiti cha magogoni si wangesema ikulu imeshushwa hadhi? utumwa wa akili mbaya sana kuliko ule wa minyororo
 
HONGERA ZANGU ZIMFIKIE MR PRESIDENT.....
amefanya kitendo kinachostahili pongezi nyingi.....
tuweke pembeni utani wa jadi wa U SIMBA NA YANGA......hongera uhuru....hongera kwaa kujali hisia za kizazi kijacho
 
Nadhan huyu binti atakuwa wa kwanza kukaa hapo kwa ambao hawajawahi kuwa rais au kuwa sehemu ya familia ya rais
 
Back
Top Bottom