Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu watanzania mnakuwa very superficial, that is one thing I have always observed about some of you folks, mnapenda ku judge mtu from how he looks not what he has between his ears, badilisheni hii tabia aise.
chief...ndo attribute ya waafrica na kumbuka extra marital ni tradition...yote mawili yanawezekana
Mimi sina ila mhindi mmoja hapa Moshi kamalizia nyumba yake shanty town anatafuta "interior designer of international standards.Mhindi mtata sana huyu, hutowezana naye!Hahaaq. My number one fan.
Toa tender uone.
Huyo mtoto angealikwa na J.K ungeshuhudia watu watakavyochafua hali ya hewa humu
sasa ndio nimeona vizuri kuna simu za mezani za KUBOFYA nyeupe na moja nyeusi ya kuzungusha kumbe bado zinatumikahahaha thats y you need an xtra eye to see that...
its all about intelligence
they can do anything to blind people and put things undercover.
Mimi sina ila mhindi mmoja hapa Moshi kamalizia nyumba yake shanty town anatafuta "interior designer of international standards.Mhindi mtata sana huyu, hutowezana naye!
Hata marais wa USA wanafanya hivi mara kwa mara. Kwa tanzania kuna uchawi sana hawatjubutu kufanya hivi. JK kwanza anatembea na kiti chake
Dah!! hiyo kali, itamsisimua sana kimaisha. Huyu hapa.
![]()
hivi hii nayo ni habari?
hivi hii nayo ni habari?
Hivi wewe unafahamu watu wangapi wametamani kukalia hapo, hadi hata wameua sana ili angalau wapafikie tu.
Yaani nimekutafutia jibu nimekosa.
Hata marais wa USA wanafanya hivi mara kwa mara. Kwa tanzania kuna uchawi sana hawatjubutu kufanya hivi. JK kwanza anatembea na kiti chake
Kweli kabisa. lakini ukipata mzee mzima ana ana judge mtoto mdogo kwa sura, ati amekomaa, and the likes, jua kuna tatizo kwenye uma huo, hakuna wakumkosoa? Ukimsema Uhuru hapo hakuna noma, lakini msichana mdogo unatoa judgment, hapo sipo aise.
Huyo mtoto angealikwa na J.K ungeshuhudia watu watakavyochafua hali ya hewa humu