Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Highly inspirational.
Nampenda sana uhuru
Dada seems upo in catch-22-situation threads zakutangaza nia CCM umezikimbia for gud?? U had tough challenge kwenye thread ya Makongoro. Hav a rest here kweri.
JK kachaguliwa kuwa mwenyekiti wa majanga duniani..na mambo ya uzazi wa mpango
Hizo unazosema challenge zote zilikuwa zinatoka kwa wapinzani wa CCM, hicho ndiyo cha kushangaza.
Kumbe kwenye hizi mambo upo?
Mkuu mi huwa nikimuona katika ubora wake nafarijika sana! Ajabu mie ni mtz ila nampenda UK kuliko JK
Asa me nakualika kila siku ufanye interior decoration mbona unapiga chenga.Hahaaq. My number one fan.
Toa tender uone.
Mnamkumbuka yule msichana aliyelia kwasababu alimwona Rais kwa macho. Hivi leo kaalikwa kwenye Ikulu na kuketi kwenye kiti cha Rais.
Huyo mtoto angealikwa na J.K ungeshuhudia watu watakavyochafua hali ya hewa humu
Asa me nakualika kila siku ufanye interior decoration mbona unapiga chenga.