Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

Ukiona huwezi kumeet standards zake chukua hamsini zako,kuwa single maza sio kigezo cha kuwa kama jalala kila mtu mwenye akili timamu, regadless amepitia situation gani lazima ajithamini by the way wewe ni mpumbavu,be a man
N.B
Nimeongea kwa niaba ya wanawake wenzangu sio tu single maza ni wanawake kwa ujumla, yaani wanaume mnajikutaga mna kauspecial flani hivi,mnajitia nyie ndo mko selective sana,kwa taarifa yenu hata sie huwa hatuzoi tu
Samahani Sana usituseme wanaume huyu aliyeleta uzi ni kijana /boy bado hajakua hajui maisha yapoje na mzunguko wake kiujumla.
Wanaume huwa tunawaelewa wanawake wote bila kujali sijui single mom kwani kuna single dady jamani.
 
Aiseee maajabu hayatakuja kwisha ndani ya dunia hii

Yaani mtu amezalishwa, ametelekezwa kwa wazazi wake, amejitongozesha mwenyewe na bado anakuja na standards kibao

Mara sihitaji kutumiwa na kuachwa, eti anahitaji ndoa
Ahahah wewe Single mother ungekuwa na standars hizi Mpaka leo hii ungekuwa umeolewa kwa sasa umechelewa

Wewe jiachie watu tujinyofolee iyo mbususu na hakuna ndoa hata zile isue za baby baby wewe hudeserve nakuambia
Mungu akusamehe sana,huenda ulichokiandika hapa hukijui.
 
Aiseee maajabu hayatakuja kwisha ndani ya dunia hii

Yaani mtu amezalishwa, ametelekezwa kwa wazazi wake, amejitongozesha mwenyewe na bado anakuja na standards kibao

Mara sihitaji kutumiwa na kuachwa, eti anahitaji ndoa
Ahahah wewe Single mother ungekuwa na standars hizi Mpaka leo hii ungekuwa umeolewa kwa sasa umechelewa

Wewe jiachie watu tujinyofolee iyo mbususu na hakuna ndoa hata zile isue za baby baby wewe hudeserve nakuambia
Tushasema sana hawa watu ni janga la taifa ukiacha umasikini na ujinga.
 
Novel za James Hadiley Chase, zilinipoteza sana nikajiita HIT AND RUN
 
na bado wanaweka standards wasiokuwa na hadhi nazo
nawaangalia wanaowatetea
Hapa napokaa kunajamaa kaoa single mother kwakweli anapata shida maana mkewe anamegwa sana na masela na baba mtoto pia aka badu.single mother ni janga la kitaifa
 
Uzuri wa haya mambo huwa mnaongea mkiwa watoto na ma k-vant yenu kichwani ila Mungu huwa anawaadhibu moja kwa moja kwa dada zenu na watoto wenu wa Kike mkishakuwa wakubwa mkapata watoto! Ila mlivyo mburula huwa mnasahau kabisa.

Unadhani single mother wanapendaga kuzalishwa na kuachwa? Kwanini ulaumu hawa wadada tu usiwalaumu na punguani za kuime zinazojua kuchovya na kukimbia?
mkuu katika hili mimi siwezi laumu huyu single mum au huyu dume aliyekimbia, unajua nini, unaweza patia mtoto wa watu mimba, kisa hukuwa tayari kuoa, ni katika ile starehe yenu, lakini iwe hukuwa umekaa nae sana kabla ya kupata uja uzito, akisapata hii mimba ndio muda unajua tabia zake, hata unagudua alikuwa anacheat akiwa na mahusiano na wewe, sasa unaamua tu kumuacha , na wakati wingine, nimesema wakati wingine huna uhakika hio mimba ni yako na pia binti ako na masaka kaa ni yako au ni ya wingine, so mkuu sio kila mwanaume anaweza laumiwa kwa kumuacha mtu akiwa single mother, blessings
 
Ukiona huwezi kumeet standards zake chukua hamsini zako,kuwa single maza sio kigezo cha kuwa kama jalala kila mtu mwenye akili timamu, regadless amepitia situation gani lazima ajithamini by the way wewe ni mpumbavu,be a man
N.B
Nimeongea kwa niaba ya wanawake wenzangu sio tu single maza ni wanawake kwa ujumla, yaani wanaume mnajikutaga mna kauspecial flani hivi,mnajitia nyie ndo mko selective sana,kwa taarifa yenu hata sie huwa hatuzoi tu
taratibu dada yangu, bona uko na machungu kibao hivyo, mimi pia sikubaliani moja kwa moja na mtoa mada, sikubaliane nae 100% ila kila mwanamke ni kweli apewe hesima yake kwanza kaa binadamu, pili kaa mtu aliyeumbwa na mungu aliyetuumba zote, lakini in life you have to have ADAPTABILITY,and FLEXIZERBILITY, yaani kuna muda hali inabidi usuke steps kadhaa chini, hope you get my point, mimi mweyewe sina ubaya wowote na single mothers, they are our daughters, sisters, aunties and such, but they have at times have to live with the reality, hope i am well understood, barikiwa dada
 
Uzuri wa haya mambo huwa mnaongea mkiwa watoto na ma k-vant yenu kichwani ila Mungu huwa anawaadhibu moja kwa moja kwa dada zenu na watoto wenu wa Kike mkishakuwa wakubwa mkapata watoto! Ila mlivyo mburula huwa mnasahau kabisa.

Unadhani single mother wanapendaga kuzalishwa na kuachwa? Kwanini ulaumu hawa wadada tu usiwalaumu na punguani za kuime zinazojua kuchovya na kukimbia?
Uko sahihi kabisa,,,Mungu ana vitu vyake bwana nimeshalishuhudia hili hili likijibiwa.,,,
 
Back
Top Bottom