DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Msichana Kubali Tu 😅
Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂
Huyu dada Missywear amepost hii kitu huko Insta, ana hoja au anafurahisha Wana-TAMISEMI wenzake?
Ipo siku atabakwa mtu na itakuwa content...!😜Majenzii yanageuza kila kitu kuwa content. Kumechangamka.
TAMISEMI wapo wapi wanipeleke huko alipo huyo dada tukatamisemike!, yeye dada tamisemi mimi kaka tamisemi..😅
Wapo wengi! Kuna wengine wawili nimewaona. "Lifestyle content" - kurekodi unavyoishi, imekuwa fasheni kwa majenzii.Ipo siku atabakwa mtu na itakuwa content...!😜
Kama ni tik tok hawapigi pesa mpaka wafuatwe na mashirika ama watu waanze kutangaza aidha bidhaa zao n.kWapo wengi! Kuna wengine wawili nimewaona. "Lifestyle content" - kurekodi unavyoishi, imekuwa fasheni kwa majenzii.
Kuna hao sasa wanarekodi maisha ya magetoni - kupika, kutandika kitanda nk. Kama wanapiga pesa ni vizuri sana maana CCM haiwakumbuki.
Na Hilo komwe Sasa🥱Sema ni Lizuri,