DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Ipo siku atabakwa mtu na itakuwa content...!πMajenzii yanageuza kila kitu kuwa content. Kumechangamka.
TAMISEMI wapo wapi wanipeleke huko alipo huyo dada tukatamisemike!, yeye dada tamisemi mimi kaka tamisemi..π
Wapo wengi! Kuna wengine wawili nimewaona. "Lifestyle content" - kurekodi unavyoishi, imekuwa fasheni kwa majenzii.Ipo siku atabakwa mtu na itakuwa content...!π
Kama ni tik tok hawapigi pesa mpaka wafuatwe na mashirika ama watu waanze kutangaza aidha bidhaa zao n.kWapo wengi! Kuna wengine wawili nimewaona. "Lifestyle content" - kurekodi unavyoishi, imekuwa fasheni kwa majenzii.
Kuna hao sasa wanarekodi maisha ya magetoni - kupika, kutandika kitanda nk. Kama wanapiga pesa ni vizuri sana maana CCM haiwakumbuki.
Na Hilo komwe Sasaπ₯±Sema ni Lizuri,