Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

Usirogwe ukamkaribisha kwako. Ukitahamaki haondoki ng'o. Ukitoka kazini utakuta wavaa dera wenzie kibao wamejiachia nyumbani kwa shemu wakeee, huku wakikupiga vizinga vya bia. kwa kifupi hawana tofauti na kupe.
 
Fanya upuuzi wote ukikutana nao ila epuka haya

Usimkaribishe ghetto kwako maana kama ni pazuri ataanza kuamia taratibu taratibu na akikuona unajiweza vizuri anakuwa king'ang'anizi hakuachi ng'o na atakuwa anakuja bila taarifa na kuachana kwake ni vita maana nao wanapenda kuwekwa ndani

Usithubutu kula kavu
Either hapa ukaambukiza magonjwa japo kuupata ukimwi inaweza ikawa ni ngumu kidogo ila ukila iishakula kwako ,pia wanakutegeshea mimba kutafuta unafuu wa maisha pia hawakawii kukutengenezea mimba feki wakuchomoe hela baadae wakwambie imeharibika

Usijieleze undani wako
Ndugu zangu namaanisha kabila lako majina yako jina la mama ndugu zako walipotoka maana ukisikia kutengenezwa kwa ndumba ndio huko au kama ndugu wapo karibu na ndio kakuelewa basi watajitambulisha maksudi akijua rafiki zako mbona watamfahamu tu kama ni Shemu na wahuni watakuona wa ajabu kula kitu kama hicho

Hakikisha unapafahamu kwao
Kiujanja janja bila hata yeye kujua na ajue unafahamu kwao hii kama itasaidia asikuletee balaa kama utamzingua

Usimuache ghetto pekee yake
Hapa sina maelezo marefu wahuni wanaelewa
 
Sasa unafanya uzinzi alafu unaogopa magonjwa 🤣🤣🤣🤣
Go full throttle hamna nusu dhambi. Ukiamua kufanya dhambi ifanye kikamilifu

Swahiba!!!!!!
Shetwani kakung'ang'ania ila najua Mungu wetu atakushindia
Kila mtu ana mpambano wake na kwa imani kila mtu mwenye imani atashinda. Ni muda tuu
 
Fanya upuuzi wote ukikutana nao ila epuka haya

Usimkaribishe ghetto kwako maana kama ni pazuri ataanza kuamia taratibu taratibu na akikuona unajiweza vizuri anakuwa king'ang'anizi hakuachi ng'o na atakuwa anakuja bila taarifa na kuachana kwake ni vita maana ishakula kwako ,pia wanakutegeshea mimba kutafuta unafuu wa maisha pia hawakawii kukutengenezea mimba feki wakuchomoe hela baadae wakwambie imeharibika

Usijieleze undani wako
Ndugu zangu namaanisha kabila lako majina yako jina la mama ndugu zako walipotoka maana ukisikia kutengenezwa kwa ndumba ndio huko au kama ndugu wapo karibu na ndio kakuelewa basi watajitambulisha maksudi akijua rafiki zako mbona watamfahamu tu kama ni Shemu na wahuni watakuona wa ajabu kula kitu kama hicho

Hakikisha unapafahamu kwao
Kiujanja janja bila hata yeye kujua na ajue unafahamu kwao hii kama itasaidia asikuletee balaa kama utamzingua

Usimuache ghetto pekee yake
Hapa sina maelezo marefu wahuni wanaelewa
Pamoja na yote hawa mademu ni wadangaji ila akitokea kukuelewa muhuni matatizo hapo ndipo yanapoanzia [emoji16]
 
Swahiba!!!!!!
Shetwani kakung'ang'ania ila najua Mungu wetu atakushindia
Kila mtu ana mpambano wake na kwa imani kila mtu mwenye imani atashinda. Ni muda tuu
Nachakupendea mama D ni kwamba huajakata tamaa kuwa ipo siku nitaondoka kwenye mikono ya shetani. Unanitia moyo sana tuu. I appreciate that.
 
Wenye uzoefu na mabint wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao
Hao tumia NDOM!
20220821_131534.jpg
 
Back
Top Bottom