Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Walimu wa dar wanaweka? Mwalimu na marangi mengi kichwani huku mkoani ni nongwa.Kwa ushauri mwambie huyo jirani niliyemkuta anakuhudumia aweke bleach kama upendavyo.Mi mpitaji tuNitapenda kukuona ukiwa na bleach...
katikati bleach alafu pembeni zinakua nyeusi, napenda mwanamke awe hivyo...