Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushakula Ela Ns Ushaamua Aurudishi..So Unatka Usaidiwe Nini Hapa?? Ila Inshort Aujafanya Poa.Aiseeeeee nimekula hela nasiirudishi
Kopi??Guasa#mchango laki moja anataka iPhone six
Hii ni kitu gani "My X wangu" ndio nini!!???? Halafu uko masomoni..au unasomea uduanzi!?Ndugu wanajamvi ,Mimi ni mfanyakazi katika mkoa wa shinyanga but sasa HV nipo masomoni dar es salaam .Ilikuwa wiki iliyopita my X wangu akanipigia cm anaomba nimuongeze pesa anunue cm nilimkubalia kishingo upande nikamwambia anicheki kuanzia Tarehe 1.2.3 mwezi wa pili yeye ni mwalimu yeye akadai kuwa si Tarehe 24 mshahara utatoka kwa hiyo takutumia pesa uninunulie na wewe utanichangia kidogo nikasema poa ila subiri tarehe 01au 2 mwezi ujao jamani ikafika Tarehe 24 nikaona nimuambie anitumie ile pesa yake nimnunulie akatuma laki moja nilipokumbuka aliyonifanyia mpaka tukaachana usaliti nimeamua Kuala hiyo pesa amenipigia cm Jana nimemuambia cm imeibiwa hostel je nimefanya kosa?
Mimi kuna mmoja Nilimuacha kutokana na yeye kuwa na nyodo sana,akikutibua ukakasirika na kumueleza ukweli ulivyoudhika anakuja juu kuwa hababaishwi na familia yao ina uwezo,haishindwi kumtunza na blah blah za kutosha tu. Sasa nilipoamua its enough na kubwaga mazima, mwanzoni akaondoka kwa makeke na mbwembwe nyingi sana ila ulipopita muda fulani,ghafla zikaanza meseji za mambo? Mzima? Nimekumic!We unatutia aibu wanaume wenzio....nyambaf. X wangu aliwahi kunitumia pesa nimnunulie laptop kisha nimtumie (way back yuko Dom mimi nikiwa Dar), nikatimiza majukum yangu as a gentleman. Nadhani ungekua wewe ungemuomba nauli ya daladala kwenda Kariakoo. Shame on you.
Asee utakuwa huwajui madem wa kibongo. Majina yote ya kipoyoyo utamilikishwa kisirisiri. Though, simuungi mkono kumtapeli ex wake fedha.Nadhani ungempa ulichomuahidi angekuona a real gentlemen.
JF is so funny, nilipigwa ban week iliniuma sanaNiliona huyu binti ni fisadi anisaliti kwa mbwembwe na hakurizika bado anakuja tena kutaka kunifisadi nikasema imetosha nimemuwahi nimekula pensheni yangu zangu kala nyingi tu
Hakumuona real gentleman wakati ana mgegeda ndo atamuona leo akimnunulia kimeo?? Acha ufalaUbaya haulipwi kwa ubaya. Nadhani ungempa ulichomuahidi angekuona a real gentlemen na angeumia kukupoteza mtu kama wewe worst part ni kuwa akili yako imeishia hapo kufikiria kuwa kulipa kisasi ndio umemkomoa.