Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

Aaaa aibu hiyo rudisha bwana siyo fresh. Mwenzio anaishi kwa kuunga unga afu unamwibia siyo vema. Hiyo hela itakuletea laaana tu
 
Wewe ni wa kumwagiwa petrol na kupigwa moto...una sifa zote za vibaka na utapeli kama matapeli wengine....
 
Hlf nashangaa mnavomkandia mtoa mada na kumwacha demu aliempiga mzinga mchiz, like seriously mtu mzima unaomba uchangiwe 1,700,000Tsh ununuliwe iPhone .huyu dada anampiga mzinga jamaa bila haya, Hlf na nyie mnamponda jamaa..

Na ww mtoa mada kwa nn una-entertain mademu wa aina iyo in your life? Una njaa ya 'k' au?? Ambiance mademu wapo kibao kwa 40k tsh unakula had na jicho, achana na hawa wapiga mizinga watakutia umaskini mumu msomso
 
Wanawake wengi mnatia aibu kwa kuendekeza njaa kwenye mahusiano sister
hakukuwa na haja ya kutumia laki yake.....angekataa tangia mwanzo.....sasa amekubali afu anaingia mitini kisa nini......? Awe mwanaume wa kweli kama jambo halitaki anasema palepale
 
Hlf nashangaa mnavomkandia mtoa mada na kumwacha demu aliempiga mzinga mchiz, like seriously mtu mzima unaomba uchangiwe 1,700,000Tsh ununuliwe iPhone .huyu dada anampiga mzinga jamaa bila haya, Hlf na nyie mnamponda jamaa..

Na ww mtoa mada kwa nn una-entertain mademu wa aina iyo in your life? Una njaa ya 'k' au?? Ambiance mademu wapo kibao kwa 40k tsh unakula had na jicho, achana na hawa wapiga mizinga watakutia umaskini mumu msomso
kha hivi inawezaje kusex na mwanamke ambae unajua anapitiwa na wanaume wengi kila siku.....

Hivi kuna raha kweli hapo ya sex ama unachojali ni kukojoa tu....
 
We unatutia aibu wanaume wenzio....nyambaf. X wangu aliwahi kunitumia pesa nimnunulie laptop kisha nimtumie (way back yuko Dom mimi nikiwa Dar), nikatimiza majukum yangu as a gentleman. Nadhani ungekua wewe ungemuomba nauli ya daladala kwenda
Kariakoo. Shame on you.

Iphone 6 inanunua hio laptop ya huyo ex wako na chenji inarudi...
 
kukojoa kwa mwanaume ndo mpango mzima, ndo maana nyie mademu huwa mnatushangaa kuwa tunawezaje kusex na mwanamke ambae hata hatumpendi, kikubwa ni kukojoa tu sister
 
Huyo demu punga IPhone inauzwa millions na pesa a fu ye anatuma laki
 
U did what u had to do ningekuona fala ungenunua io iphone
 
Back
Top Bottom