Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

Unalo pesa imeanza kukuumiza, mengine bora kutotenda kwa wewe umejikuta umekuwa mwizi sasa.
 
Guasa#mchango laki moja anataka iPhone six
 
Anataka Iphone 6 alafu anakutumia laki moja? Hujui hata kudanganya... Na siyo kwamba umekula kusudi hiyo hela, unanjaa huna kitu, umeshukuru hata kuipata hiyo hela... Mwambie ukweli tu kama umepigika na hiyo pesa imekuwa msaada kwako ukipata utamlipa atakuelewa..

Nashangaa haya hiyo feki ya mchina basi iphone 6 ni zaidi ya laki moja, au majisifu ya bure?
 
Niliona huyu binti ni fisadi anisaliti kwa mbwembwe na hakurizika bado anakuja tena kutaka kunifisadi nikasema imetosha nimemuwahi nimekula pensheni yangu zangu kala nyingi tu
 
Hahaaa nimecheka sana. Una akili sana wewe, angalau katika usaliti alokufanyia umefidishia ka laki moja.
Na akome kabsaa
 
Umli wangu ni miaka 27 wakuu naomba maoni yenu niamue
u bado mdogo sana katika Mapenzi
hapo bado Ndoa
hebu weka namba zakle sisi tumchangie nayeye apate smartphome
Madhara yake ni hapo tutalapomfyndisha ile namba aliyokutukia pesa kwa M Pesa atupe halaguuone hapa mtu haibiwi
 
Asanteni sana #habari ya hapa na yellow masai kwa ushauri mzuri.
 
Ndugu wanajamvi ,Mimi ni mfanyakazi katika mkoa wa shinyanga but sasa HV nipo masomoni dar es salaam .Ilikuwa wiki iliyopita my X wangu akanipigia cm anaomba nimuongeze pesa anunue cm nilimkubalia kishingo upande nikamwambia anicheki kuanzia Tarehe 1.2.3 mwezi wa pili yeye ni mwalimu yeye akadai kuwa si Tarehe 24 mshahara utatoka kwa hiyo takutumia pesa uninunulie na wewe utanichangia kidogo nikasema poa ila subiri tarehe 01au 2 mwezi ujao jamani ikafika Tarehe 24 nikaona nimuambie anitumie ile pesa yake nimnunulie akatuma laki moja nilipokumbuka aliyonifanyia mpaka tukaachana usaliti nimeamua Kuala hiyo pesa amenipigia cm Jana nimemuambia cm imeibiwa hostel je nimefanya kosa?
Watu kupenda Maisha ya juu bhna......ana Laki moja halafu anataka iphone 6! Angeomba tu umnunulie iphone 6 sio umchangie......iphone 6 milioni moja na laki 8 kama sikosei so unamchangia 1.7.......Duuuuuu afu upo unasoma!

Hapo mmeachana sipatii picha kipindi upo nae mizinga alio kuwa anakupigaa
 
Mwanangu alikuwa na mizinga ya kufa mtu mpaka nilikonda # danya
 
Kuna dada niliona katupia uzi humu kwamba kuna mtu alimtapeli pesa, na huyo mtu ni member humu jamvini aiseeee....
 
Back
Top Bottom