Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Katoa jiti(laki)anataka iPhone 6 au techno p3 labda umemnukuu vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha labda 1000000 bhana kasahau sifur mojaKatoa jiti(laki)anataka iPhone 6 au techno p3 labda umemnukuu vibaya.
Kumbe una "umli" mkubwa tuUmli wangu ni miaka 27 wakuu naomba maoni yenu niamue
Anataka Iphone 6 alafu anakutumia laki moja? Hujui hata kudanganya... Na siyo kwamba umekula kusudi hiyo hela, unanjaa huna kitu, umeshukuru hata kuipata hiyo hela... Mwambie ukweli tu kama umepigika na hiyo pesa imekuwa msaada kwako ukipata utamlipa atakuelewa..
Jamaa anazingua tu huyu anajificha kichwa majani mafupi hiyo kila angepata simu tatu za katochi safi kabisa iPhone katoa jiti sasa alimwambia amuongezee ngapi?Hahahaha labda 1000000 bhana kasahau sifur moja
u bado mdogo sana katika MapenziUmli wangu ni miaka 27 wakuu naomba maoni yenu niamue
Kasoma,kaajiriwa,ameenda tena kusoma,yupo anasoma!my x girl wangu
Watu kupenda Maisha ya juu bhna......ana Laki moja halafu anataka iphone 6! Angeomba tu umnunulie iphone 6 sio umchangie......iphone 6 milioni moja na laki 8 kama sikosei so unamchangia 1.7.......Duuuuuu afu upo unasoma!Ndugu wanajamvi ,Mimi ni mfanyakazi katika mkoa wa shinyanga but sasa HV nipo masomoni dar es salaam .Ilikuwa wiki iliyopita my X wangu akanipigia cm anaomba nimuongeze pesa anunue cm nilimkubalia kishingo upande nikamwambia anicheki kuanzia Tarehe 1.2.3 mwezi wa pili yeye ni mwalimu yeye akadai kuwa si Tarehe 24 mshahara utatoka kwa hiyo takutumia pesa uninunulie na wewe utanichangia kidogo nikasema poa ila subiri tarehe 01au 2 mwezi ujao jamani ikafika Tarehe 24 nikaona nimuambie anitumie ile pesa yake nimnunulie akatuma laki moja nilipokumbuka aliyonifanyia mpaka tukaachana usaliti nimeamua Kuala hiyo pesa amenipigia cm Jana nimemuambia cm imeibiwa hostel je nimefanya kosa?
Jf kuna raha za kila rangi aiseeee...Ndio maana alikusaliti we unafikiri mwanamke anataka nini kwa mwanaume?