Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

Huyo ticha naye...laki moja halafu wewe uongezee zaidi ya laki 4
 
Mnunulie copy wanawake wengi wanapenda simu Kali wachache Sana wanajua kutofutisha copy na genuine......ila my X girl wangu ndo nn??
 
Wanaume wa siku hizi ni majanga sana wanalalamika sana..

Mtu anahonga hela inamuuma miaka....

Mwanamke kazi yake kutumia vya mwanaume...

Tambueni majukumu yenu.
 
Hii ni kitu gani "My X wangu" ndio nini!!???? Halafu uko masomoni..au unasomea uduanzi!?
 
Rudisha hela yake bana ehehehe!Iphone 6 ya kupewa laki 1 ww utachangia Milion kwa hiyo?

Rudisha hela ya Mwalimu pls
 
Wavulana mna matatizo gani? Kwanza kama ulikwishaachana nae,mnachangishana hela ya simu ili iweje? Halafu bado,pamoja na kukubali kumchangia ubamwibia,hivi hizo ni akili kweli? Kama alikuumiza,kata mawasiliano moja kwa moja na kuendelea na mengine, sio kukaa unajipendekeza na kujilizaliza kwa matarajio kuwa atajirudi na kukupenda huku tena ukiwa na tamaa na hela ambazo sio zako.
Rudisha hela ya watu, endelea na mengine, huo ni upuuzi.
 
Mwanamke haliwi pesa yake. Analiwa tu utamu wake. Rudisha tu pesa yake.
 
Mimi kuna mmoja Nilimuacha kutokana na yeye kuwa na nyodo sana,akikutibua ukakasirika na kumueleza ukweli ulivyoudhika anakuja juu kuwa hababaishwi na familia yao ina uwezo,haishindwi kumtunza na blah blah za kutosha tu. Sasa nilipoamua its enough na kubwaga mazima, mwanzoni akaondoka kwa makeke na mbwembwe nyingi sana ila ulipopita muda fulani,ghafla zikaanza meseji za mambo? Mzima? Nimekumic!
Sasa,kistaarabu unaamua kwenda na beat, isitoshe mimi sipendi kudharau mtu au kumfanya ajisikie mnyonge kwa hiyo namjibu vizuri tu. Cha ajabu, mwishoni unashangaa mzinga huo. Unaendelea kuwa mstaarabu,unamtumia hela aliyoomba. Sasa mizinga ilipozidi nikaona huu ni ujinga na Nikaamua kuacha kutuma maana ilifika mahali nikipokea tu meseji kuwa ananimic,najua kinachofuata ni ombi la pesa.
Nikajifunza kuwa, kama umeamua kuachana na mtu, ni vyema kuacha kuintertain urafiki usio na tija kwani mara nyingi hauna manufaa na unakufanya kuwa mtumwa. Bora ufunge faili na kuendelea mbele bila kuangalia nyuma.
Dogo ameonyesha udhaifu sana, ni bora angeachana na huyo mwanamke moja kwa moja, hayo yasingetokea.
 
Mkuu mini sikupondi kama hawa wachangiaji waliopita, kwa ulilolifanya kwa kiasi flani naona upo sahihi

Kwanza mm naona huyo demu kukupiga mzinfa kakudharau sana kwani yy hana boyfriend? Au baada ya ninyi kuachana ulikuwa unamsumbua sumbua uyo demu

Ingetakiwa umwambie straight kuwa mm sikuchangii, kuliko kumchukulia mpunga wake coz maybe anaweza kukushtaki kuwa umemtapeli.

Ila asipokushtaki walau utakuwa umejipooza na hio laki msomso
 
Mkuu mini sikupondi kama hawa wachangiaji waliopita, kwa ulilolifanya kwa kiasi flani naona upo sahihi

Kwanza mm naona huyo demu kukupiga mzinfa kakudharau sana kwani yy hana boyfriend? Au baada ya ninyi kuachana ulikuwa unamsumbua sumbua uyo demu

Ingetakiwa umwambie straight kuwa mm sikuchangii, kuliko kumchukulia mpunga wake coz maybe anaweza kukushtaki kuwa umemtapeli.

Ila asipokushtaki walau utakuwa umejipooza na hio laki msomso
 
Halaf mm nawashangaa wachangiaji wengine humu wanajivunia kuhudumia mademu (kwa kujihis wao ni vidume) , probably hao mademu wanaowahudumia wanafukuliwa uvungu na lijitu ambalo halijawahi kuwapa hata Tsh. 100

Mkitendwa mnaanza kukumbuka mpunga mliokuwa mkiwapa na kuja kulia lia humu JF

You men, when will u learn!!!???
 
Rudisha hela ya watu........au mnunulie hiyo simu.....
 
Niliona huyu binti ni fisadi anisaliti kwa mbwembwe na hakurizika bado anakuja tena kutaka kunifisadi nikasema imetosha nimemuwahi nimekula pensheni yangu zangu kala nyingi tu
JF is so funny, nilipigwa ban week iliniuma sana
 
Ubaya haulipwi kwa ubaya. Nadhani ungempa ulichomuahidi angekuona a real gentlemen na angeumia kukupoteza mtu kama wewe worst part ni kuwa akili yako imeishia hapo kufikiria kuwa kulipa kisasi ndio umemkomoa.
Hakumuona real gentleman wakati ana mgegeda ndo atamuona leo akimnunulia kimeo?? Acha ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…