Msichana wa zamani anahitaji nimchangie anunue iPhone 6

Kijana hujafanya sawa bora ungekataa ungesema upo bussy na hyo elimu yako ya hapa na pale,msomi hawezi behave kama wewe tena a man.freeloader wewe,unapenda kitonga.aibu yako ukitembea njian hukumiwe mpka urudishe pesa hyo...alaah
 
Asee utakuwa huwajui madem wa kibongo. Majina yote ya kipoyoyo utamilikishwa kisirisiri. Though, simuungi mkono kumtapeli ex wake fedha.


A real gentlemen do real things. Hakuna kitu kinauma kama ku play na mind ya mtu PSYCHOLOGY in good deeds. NIngemuona jamaa smart kama angemkatalia from the begining lakini kapokea noti halaf hajatimiza ahadi yake ..
 
Mrudishie hela yake. Huoni.hata wewe nafsi imekusuta ndo maana ukaja hapa kuomba ushauri? . Huyo binti kama anataka kuliazisha upya. Hiyo ilikuwa ni test ya kuona utayari wako wa kumrudia. Hiyo hela ndogo haiwezi kulipa uliyomfanyia. Usijishushe..mpe hela yake halafu.mkaushie.
 
Asante sana okoyoko na Haridi kwa mawazo yenu mazuri
 
Wewe mbona unatufedhehesha wanaume? We choko sana wewe? Tena inaonekana mshamba unawafanya washinyanga wote waonekane mbwigira! Rudisha pesa na simu nunua mjinga wee! That chick has every right to dump u idiot!
 


Yaani jamaa ameyumba kwa pesa ndogo hivyo. Nimesoma tena post yake nimehisi pia dem alikuwa anampima. Maana kama angekuwa serious asingempa lak1 amnunulie iphone.
 
Yaani jamaa ameyumba kwa pesa ndogo hivyo. Nimesoma tena post yake nimehisi pia dem alikuwa anampima. Maana kama angekuwa serious asingempa lak1 amnunulie iphone.
Huyu demu ndo maana alimfanyio hivo maana sioni kama unaweza chukua laki ukasema pension!!
 
Wewe mwenyewe unaonaje hapo??
 
...mwenyewe umeona umeiiiiba hapo looh...una njaa tuu Mkuu huna lolote rudi shinyanga kwa dar laki si pesa
 
Anayelialia ni kama huyo anayejisifu kula laki ya mwanamke umetoa mwenyewe kwa hiari alafu unaanza kulala. Mademu zao hela mapenzi ni ziada.
 
Kuliwa pesa na ex wako alikuomba na ulimpa mwenyewe sidhani kama alikutapeli kama unavyofanya wewe sasa. Unaweza kwa sasa ukaona umelipiza kwa kuila hela yake ila kinyongo alichonacho kinaweza kukuzibia riziki ya maisha yako. Hata jambazi hupora fedha kirahisi ila kinyongo cha aliedhulumiwa ndio jambazi huishia kuuliwa. Ushauri wangu rudisha hela yake kabla aijaleta madhara kwenye maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…