hakukuwa na haja ya kutumia laki yake.....angekataa tangia mwanzo.....sasa amekubali afu anaingia mitini kisa nini......? Awe mwanaume wa kweli kama jambo halitaki anasema palepaleWanawake wengi mnatia aibu kwa kuendekeza njaa kwenye mahusiano sister
kha hivi inawezaje kusex na mwanamke ambae unajua anapitiwa na wanaume wengi kila siku.....Hlf nashangaa mnavomkandia mtoa mada na kumwacha demu aliempiga mzinga mchiz, like seriously mtu mzima unaomba uchangiwe 1,700,000Tsh ununuliwe iPhone .huyu dada anampiga mzinga jamaa bila haya, Hlf na nyie mnamponda jamaa..
Na ww mtoa mada kwa nn una-entertain mademu wa aina iyo in your life? Una njaa ya 'k' au?? Ambiance mademu wapo kibao kwa 40k tsh unakula had na jicho, achana na hawa wapiga mizinga watakutia umaskini mumu msomso
We unatutia aibu wanaume wenzio....nyambaf. X wangu aliwahi kunitumia pesa nimnunulie laptop kisha nimtumie (way back yuko Dom mimi nikiwa Dar), nikatimiza majukum yangu as a gentleman. Nadhani ungekua wewe ungemuomba nauli ya daladala kwenda
Kariakoo. Shame on you.
Uamue nini na hela ushakula? Au huoni kuwa hayo ni maamuzi tayari???Umli wangu ni miaka 27 wakuu naomba maoni yenu niamue